
Kiswahili syllabus pdf Free
SILABASI YA KISWAHILI * KIDATO CHA KWANZA KUSIKILIZA NA KUZUNGUMZA Matamshi bora 1. Kiimbo 2. Shadda 3. Irabu/vokali-/a/,/e/,/i/,/o/,/u/ 4. Konsonanti-/b/,/ch/,/d/,/dh/,/f/,/g/,/gh/,/h/,/j/,/k/ ,/l/,/m/,/n/,/ng/,/ny/,/p/,/r/,/s/,/sh/,/t/,/th/,/v/,/w/,/y/,/z/ 5. Ala za sauti/kutamkia 6. Namna ya kutamka na aina za sauti k.m […]