
Teachers' Resources
FORM 1-4 KISWAHILI LUGHA NOTES FREE PDF
MATUMIZI YA LUGHA Kiimbo Jinsi sauti inavyopanda na kushuka mtu anapoongea. Huibua maana halisi ya maneno yanayosemwa kama ifuatavyo: Sentensi za taarifa Mtoto anaandika barua. Sentensi za maswali Mtoto anaandika barua? Sentensi za mshangao Mtoto […]