ASILIA
- KLB
- Mwongozo wa Mwalimu
- Oxford
- Kamusi
JUMA | KIPINDI |
SOMO |
SHABAHA |
MBINU |
VIFAA |
ASILIA |
MAONI |
1 | 4-6 | KUFUNGUA SHULE NA KUSAHIHISHA KAZI YA LIKIZO | |||||
2 | 1 | MTIHANI | |||||
2 | Isimu Jamii
Mazungumzo hotelini |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Wanafunzi waweze kutamka maneno ipasavyo Waweze kueleza sifa za lugha ya hotelini |
Kusoma Kueleza sifa |
Chaki Ubao Madaftari |
Fasaha BK 1 UK 11 KLB BK 2 UK 1-3 Chem BK 2 UK 26 |
||
3 | Fasihi
Vipengele muhimu Ploti mahusika |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kueleza vipengele Kueleza wahusika na sifa zao |
Kueleza Kutoa mifano |
Chaki Ubao Madaftari |
Fasaha BK 2
UK 42, 64 KLB BK 2 UK 3-8 Chem BK 2 UK 8 |
||
4 | Fasihi
Dhamira/maudhui |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kueleza maana ya maudhui, dhamira na kutoa mifano |
Kueleza Kutoa mifano |
Chaki Ubao Madaftari |
Fasaha BK 2
UK 42, 64 KLB BK 2 UK 3-8 Chem BK 2 UK 8 |
||
5 | Fasihi
Mtindo wa lugha na sanaa |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kutofautisha mitindo miwili |
Kueleza Kutambua |
Chaki Ubao Madaftari |
Fasaha BK 2
UK 42, 64 KLB BK 2 UK 3-8 Chem BK 2 UK 8 |
||
6 | Uchambuzi wa fasihi | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kuchambua makala ya fasihi |
Kusoma Kujibu maswali |
Chaki
Ubao Madaftari |
KLB BK 2 UK 6-8 Chem BK 2 UK 8 |
||
3 | 1 | Sarufi
Mofimu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kueleza maana ya mofimu |
Kueleza Kutoa mifano |
Chaki
Ubao Madaftari |
Fasaha BK 2 UK 102
KLB BK 2 UK 8-9 Chem BK 2 UK 6-8 |
|
2 | MTIHANI | ||||||
3 | Sarufi
Viambishi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kutofautisha viambishi awali na tamati |
Kusoma Kuandika |
Chaki
Ubao Madaftari |
Fasaha BK 2 UK 114
KLB BK 2 UK 10 Chem BK 2 UK 114 |
||
4 | Insha ya maigizo | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kuandika mchezo wa kuigiza |
Kueleza Kuandika |
Chaki
Ubao Madaftari |
Fasaha BK 2 UK 22
KLB BK 2 UK 12 Chem BK 2 UK 29 |
||
5 | Isimu Jamii
Uhusiano wa kitabaka |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kueleza jinsi ambavyo watu wa matabaka mbalimbali wanavyohusiana |
Kusoma Kujadili |
Chaki Ubao Madaftari |
Fasaha BK 2 UK 22 KLB BK 2 UK 13 Chem BK 2 UK 29 |
||
6 | Ufahamu
Matumizi ya kamusi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kusoma makala na kujibu maswali ya ufahamu |
Kusoma Kujadili Kujibu maswali |
Chaki Ubao Madaftari |
KLB BK 2 UK 15 |
||
4 | 1 | Sarufi
Nomino |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kutambua aina za nomino |
Kueleza kwa kutoa mifano
kuandika |
Chaki
Ubao Madaftari |
Fasaha BK 2 UK 6
KLB BK 2 UK 29 Chem BK 2 UK 28 |
|
2 | Nomino | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kufafanua aina za nomino |
Kueleza/kutaja
Kutoa mifano Kufanya zoezi |
Chaki
Ubao Madaftari |
Fasaha BK 2 UK 6
KLB BK 2 UK 29 Chem BK 2 UK 28 |
||
3 | MTIHANI | ||||||
4-6 | Vivumishi | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kubainisha aina ya vivumishi |
Kueleza/kutaja
Kutoa mifano Kufanya zoezi |
Chaki
Ubao Madaftari |
KLB BK 2 UK 22 |
||
5 | 1 | Insha ya mahojiano | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kutofautisha dayolojia na mahojiano |
Kueleza/kutaja
Kutoa mifano Kufanya zoezi |
Chaki
Ubao Madaftari |
Fasaha BK 2 UK 31
KLB BK 2 UK 29 Chem BK 2 UK 214 |
|
2 | Fasihi
Vitendawili |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kubainisha vitendawili mbalimbali |
Kusoma Kutoa mifano Kufanya zoezi |
Chaki Ubao Madaftari |
Fasaha BK 2
UK 109-117 KLB BK 2 UK 30 Chem BK 2 UK 184 |
||
3 | MTIHANI | ||||||
4 | Mafumbo | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kubainisha aina za mafumbo |
Kusoma
Kutoa mifano Kutoa majibu |
Chaki
Ubao Madaftari |
Fasaha BK 2 UK 57
KLB BK 2 UK 30 Chem BK 2 UK 184 |
||
5-6 | Ufahamu
Uchafuzi wa mazingira |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kujibu maswali ya msamiati |
Kusoma
Kujadili Kufanya zoezi |
Chaki
Ubao Madaftari |
KLB BK 2 UK 33 |
||
6 | 1 | Sarufi
Vivumishi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kutambua na kutunga sentensi |
Kutoa mifano
Kutunga sentensi Kufanya zoezi |
Chaki
Ubao Madaftari |
Fasaha BK 2 UK 37
KLB BK 2 UK 36 Chem BK 2 UK 74 |
|
2-3 | Fasihi
Mighani/visakale |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kutoa maana na mifano Kutaja sifa |
Kutaja Kutoa mifano |
Chaki Ubao Madaftari |
Fasaha BK 2 UK 74 KLB BK 2 UK 58 Chem BK 2 UK 196 |
||
4 | MTIHANI | ||||||
5 | Ufahamu | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kuboresha matamshi yao |
Kuandika |
Chaki
Ubao Madaftari |
KLB BK 2 UK 80 |
||
6 | Muhtasari | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Waweze kusoma makala na kuyafupisha ipasavyo |
Kusoma Kuandika |
Chaki Ubao Madaftari |
KLB BK 2 UK 82 |
||
7 | 1 | Viwakilishi | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kutaja aina ya viwakilishi na kuvitungia sentensi |
Kutambua Kutunga sentensi |
Chaki Ubao Madaftari |
Fasaha BK 2 UK 37 KLB BK 2 UK 50 Chem BK 2 UK 85 |
|
2 | Kuandika
Tahadhari/onyo/ilani |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kuandika kwa hati nadhifu |
Kusoma
Kujadili Kufanya zoezi |
Chaki
Ubao Madaftari |
KLB BK 2 UK 53 Chem BK 2 UK 119 |
||
3 | Kusikiliza na kuzungumza
(Visawe) |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kutamka maneno kwa ufasaha |
Kusoma Kueleza maana |
Chaki
Ubao Madaftari |
KLB BK 2 UK Kamusi |
||
4 | Mazungumzo hospitalini | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kueleza sifa za lugha ya hospitalini |
Kusoma
Kueleza Kuandika nakala |
Chaki
Ubao Madaftari |
Fasaha BK 2 UK 29
KLB BK 2 UK 62 Chem BK 2 UK 159 |
||
5 | MTIHANI | ||||||
6 | Ufasaha wa lugha
Misemo |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kutambua maana |
Kueleza Kutunga sentensi |
Chaki
Ubao Madaftari |
KLB BK 2 UK 76 |
||
8 | 1 | Ufahamu
Maadili mema |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kusoma makala kwa ufasaha |
Kusoma
Kutaja misamiati Kufanya zoezi |
Chaki
Ubao Madaftari |
KLB BK 2 UK 80-82 |
|
2 | Muhtasari | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kutambua hatua muhimu za ufupisho |
Kusoma Kufupisha habari |
Chaki
Ubao Madaftari |
KLB BK 2 UK 80-82 |
||
3 | MTIHANI | ||||||
4-6 | LIKIZO FUPI | ||||||
9 | 1-2 | Sarufi
Vitenzi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kutambua aina ya vitenzi na kuvitungia sentensi |
Kutoa maana Kutunga sentensi Kufanya zoezi |
Chaki Ubao Madaftari |
KLB BK 2 UK 83 |
|
3 | Isimu jamii
Mazungumzo Posta |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kueleza sifa za lugha ya posta |
Kusoma kwa sauti Kujadili sifa |
Picha |
Fasaha BK 2 UK 165 KLB BK 2 UK 89 |
||
4 | Kuandika
Insha ya mdokezo |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kuandika hati nadhifu |
Kuandika |
Mfano |
Fasaha BK 2 UK 10
KLB BK 2 UK 87 Chem BK 2 UK 143 |
||
5 | Ufahamu
Repoti kuhusu ukimwi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kusoma kwa makini na kujibu maswali ya ufahamu |
Kusoma Kuandika |
Nakala |
KLB BK 2 UK 91 |
||
6 | MTIHANI
|
||||||
10 | 1 | Ufahamu
Udurusu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kusoma kwa ufasaha |
Kusoma na kuandika |
Chaki
Ubao Madaftari |
KLB BK 2 UK 91 |
|
2 | MTIHANI | ||||||
3 | Muhtasari
repoti kuhusu ukimwi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kufupisha habari bila kupoteza maana |
Kusoma Kufanya zoezi |
Chaki
Ubao Madaftari |
KLB BK 2 UK 91 |
||
4 | Kuandika
Insha ya ripoti |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kuandika ripoti kuzingatia mtindo mwafaka |
Kueleza Kuandika |
Mifano |
Fasaha BK 2 UK 55 KLB BK 2 UK 91-94 Chem BK 2 UK 178 |
||
5-6 | Sarufi
Viwakilishi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kutambua aina ya viwakilishi |
Kueleza
Kutunga sentensi Kufanya zoezi |
Chaki
Ubao Madaftari |
Fasaha BK 2 UK 49
KLB BK 2 UK 94 Chem BK 2 UK 228 |
||
11 | 1 | Kuandika
Barua simu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kuandika barua yenye mantiki |
Kueleza Kuandika |
Chaki
Ubao Madaftari |
Fasaha BK 2 UK 175
KLB BK 2 UK 108 Chem BK 2 UK 241 |
|
2-3 | Viwakilishi vya pekee, nafsi | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kubainisha na kuvitumia katika sentensi |
Kutoa mifano Kutunga sentensi Kufanya zoezi |
Chaki Ubao Madaftari |
Fasaha BK 2 UK 178 KLB BK 2 UK 98 Chem BK 2 UK 228 |
||
4 | MTIHANI | ||||||
5 | Mazungumzo
Kituo cha polisi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kueleza sifa za lugha inayotumika |
Kutaja sifa Kuandika nakala |
Chaki
Ubao Madaftari |
KLB BK 2 UK 102 Chem BK 2 UK 208 |
||
6 | Ufahamu | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kusoma kwa ufasaha |
Kusoma
Kujadili Kuandika |
Chaki
Ubao Madaftari |
KLB BK 2 UK 104-107 |
||
12 | 1 | Viwakilishi sifa | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kueleza na kutoa mifano katika sentensi |
Kutaja Kutunga sentensi Kufanya zoezi |
Chaki Ubao Madaftari |
Fasaha BK 2 UK 175 KLB BK 2 UK 98 Chem BK 2 UK 241 |
|
2 | Viwakilishi idadi | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kueleza na kutoa mifano katika sentensi |
Kutaja Kutunga sentensi Kufanya zoezi |
Chaki Ubao Madaftari |
Fasaha BK 2 UK 175 KLB BK 2 UK 98 Chem BK 2 UK 241 |
||
3 | Vimilikishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kueleza na kutoa mifano katika sentensi |
Kutaja Kutunga sentensi Kufanya zoezi |
Chaki Ubao Madaftari |
KLB BK 2 UK 109-110 |
||
4 | ‘A” unganifu | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kueleza na kutoa mifano katika sentensi |
Kutaja Kutunga sentensi Kufanya zoezi |
Chaki Ubao Madaftari |
KLB BK 2 UK 109-110 |
||
5 | Viwakilishi virejeshi | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kueleza na kutoa mifano katika sentensi |
Kutaja Kutunga sentensi Kufanya zoezi |
Chaki Ubao Madaftari |
KLB BK 2 UK 113 |
||
6 | MTIHANI | ||||||
13 | 1 | Insha
Matangazo ya redio, runinga, magazetini |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kutunga matangazo Kusoma |
Kueleza Kusoma Kuandika |
Chaki Ubao Madaftari |
Fasaha BK 2 UK 163 KLB BK 2 UK 115 |
|
2 | MTIHANI | ||||||
3 | Matamshi bora
Vitate S na Z |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kutamka maneno kwa ufasha |
Kubainisha Kusoma |
Chaki
Ubao Madaftari |
Fasaha BK 2 UK 1 KLB BK 2 UK 120 |
||
4 | Ufahamu
Dondoo |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kujibu maswali ya ufahamu |
Kusoma
Kujadili Kuandika |
Chaki
Ubao Madaftari |
Fasaha BK 2 UK 112
KLB BK 2 UK 122-124 Chem BK 2 UK 168 |
||
5 | Kusoma maktabani
Shairi arudhi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kusoma na kufanya utafiti juu ya ushairi |
Kusoma Kutafiti Kuandika |
Chaki Ubao Madaftari |
Fasaha BK 2 UK 88 KLB BK 2 UK 125 Chem BK 2 UK 177 |
||
6 | Vielezi
Vielezi wakati |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kutumia vielezi katika sentensi ipasavyo |
Kutambua Kutunga sentensi |
Chaki Ubao Madaftari |
Fasaha BK 2 UK 60, 62
KLB BK 2 UK 125-126 Chem BK 2 UK 250 |
||
14 | 1 | Insha
Kuandika dayolojia |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
Kuandika kwa hati nadhifu |
Kusoma
Kujadili Kufanya zoezi |
Chaki
Ubao Madaftari |
Fasaha BK 2 UK 212
KLB BK 2 UK 119 Chem BK 2 UK 233 |
|
2-6 | MARUDIO YA MTIHANI | ||||||
15 | 1-4 | KUFUNGA SHULE KWA LIKIZO LA APRILI | |||||
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
|
Chaki Ubao Madaftari |
Fasaha BK 2 UK KLB BK 2 UK Chem BK 2 UK |