ASILIA
- KLB
- Mwongozo wa Mwalimu
- Oxford
- Kamusi
JUMA | KIPINDI | SOMO | SHABAHA | MBINU | VIFAA | ASILIA | MAONI |
1 | 4-6 | KUFUNGUA SHULE NA KUSAHIHISHA KAZI YA LIKIZO | |||||
2 | 1 | MTIHANI | |||||
2 | Isimu Jamii Mazungumzo hotelini | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Wanafunzi waweze kutamka maneno ipasavyo Waweze kueleza sifa za lugha ya hotelini | Kusoma Kueleza sifa | Chaki Ubao Madaftari | Fasaha BK 1 UK 11 KLB BK 2 UK 1-3 Chem BK 2 UK 26 | ||
3 | Fasihi Vipengele muhimu Ploti mahusika | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kueleza vipengele Kueleza wahusika na sifa zao | Kueleza Kutoa mifano | Chaki Ubao Madaftari | Fasaha BK 2 UK 42, 64 KLB BK 2 UK 3-8 Chem BK 2 UK 8 | ||
4 | Fasihi Dhamira/maudhui | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kueleza maana ya maudhui, dhamira na kutoa mifano | Kueleza Kutoa mifano | Chaki Ubao Madaftari | Fasaha BK 2 UK 42, 64 KLB BK 2 UK 3-8 Chem BK 2 UK 8 | ||
5 | Fasihi Mtindo wa lugha na sanaa | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kutofautisha mitindo miwili | Kueleza Kutambua | Chaki Ubao Madaftari | Fasaha BK 2 UK 42, 64 KLB BK 2 UK 3-8 Chem BK 2 UK 8 | ||
6 | Uchambuzi wa fasihi | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kuchambua makala ya fasihi | Kusoma Kujibu maswali | Chaki Ubao Madaftari | KLB BK 2 UK 6-8 Chem BK 2 UK 8 | ||
3 | 1 | Sarufi Mofimu | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kueleza maana ya mofimu | Kueleza Kutoa mifano | Chaki Ubao Madaftari | Fasaha BK 2 UK 102 KLB BK 2 UK 8-9 Chem BK 2 UK 6-8 | |
2 | MTIHANI | ||||||
3 | Sarufi Viambishi | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kutofautisha viambishi awali na tamati | Kusoma Kuandika | Chaki Ubao Madaftari | Fasaha BK 2 UK 114 KLB BK 2 UK 10 Chem BK 2 UK 114 | ||
4 | Insha ya maigizo | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kuandika mchezo wa kuigiza | Kueleza Kuandika | Chaki Ubao Madaftari | Fasaha BK 2 UK 22 KLB BK 2 UK 12 Chem BK 2 UK 29 | ||
5 | Isimu Jamii Uhusiano wa kitabaka | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kueleza jinsi ambavyo watu wa matabaka mbalimbali wanavyohusiana | Kusoma Kujadili | Chaki Ubao Madaftari | Fasaha BK 2 UK 22 KLB BK 2 UK 13 Chem BK 2 UK 29 | ||
6 | Ufahamu Matumizi ya kamusi | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kusoma makala na kujibu maswali ya ufahamu | Kusoma Kujadili Kujibu maswali | Chaki Ubao Madaftari | KLB BK 2 UK 15 | ||
4 | 1 | Sarufi Nomino | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kutambua aina za nomino | Kueleza kwa kutoa mifano kuandika | Chaki Ubao Madaftari | Fasaha BK 2 UK 6 KLB BK 2 UK 29 Chem BK 2 UK 28 | |
2 | Nomino | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kufafanua aina za nomino | Kueleza/kutaja Kutoa mifano Kufanya zoezi | Chaki Ubao Madaftari | Fasaha BK 2 UK 6 KLB BK 2 UK 29 Chem BK 2 UK 28 | ||
3 | MTIHANI | ||||||
4-6 | Vivumishi | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kubainisha aina ya vivumishi | Kueleza/kutaja Kutoa mifano Kufanya zoezi | Chaki Ubao Madaftari | KLB BK 2 UK 22 | ||
5 | 1 | Insha ya mahojiano | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kutofautisha dayolojia na mahojiano | Kueleza/kutaja Kutoa mifano Kufanya zoezi | Chaki Ubao Madaftari | Fasaha BK 2 UK 31 KLB BK 2 UK 29 Chem BK 2 UK 214 | |
2 | Fasihi Vitendawili | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kubainisha vitendawili mbalimbali | Kusoma Kutoa mifano Kufanya zoezi | Chaki Ubao Madaftari | Fasaha BK 2 UK 109-117 KLB BK 2 UK 30 Chem BK 2 UK 184 | ||
3 | MTIHANI | ||||||
4 | Mafumbo | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kubainisha aina za mafumbo | Kusoma Kutoa mifano Kutoa majibu | Chaki Ubao Madaftari | Fasaha BK 2 UK 57 KLB BK 2 UK 30 Chem BK 2 UK 184 | ||
5-6 | Ufahamu Uchafuzi wa mazingira | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kujibu maswali ya msamiati | Kusoma Kujadili Kufanya zoezi | Chaki Ubao Madaftari | KLB BK 2 UK 33 | ||
6 | 1 | Sarufi Vivumishi | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kutambua na kutunga sentensi | Kutoa mifano Kutunga sentensi Kufanya zoezi | Chaki Ubao Madaftari | Fasaha BK 2 UK 37 KLB BK 2 UK 36 Chem BK 2 UK 74 | |
2-3 | Fasihi Mighani/visakale | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kutoa maana na mifano Kutaja sifa | Kutaja Kutoa mifano | Chaki Ubao Madaftari | Fasaha BK 2 UK 74 KLB BK 2 UK 58 Chem BK 2 UK 196 | ||
4 | MTIHANI | ||||||
5 | Ufahamu | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kuboresha matamshi yao | Kuandika | Chaki Ubao Madaftari | KLB BK 2 UK 80 | ||
6 | Muhtasari | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Waweze kusoma makala na kuyafupisha ipasavyo | Kusoma Kuandika | Chaki Ubao Madaftari | KLB BK 2 UK 82 | ||
7 | 1 | Viwakilishi | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kutaja aina ya viwakilishi na kuvitungia sentensi | Kutambua Kutunga sentensi | Chaki Ubao Madaftari | Fasaha BK 2 UK 37 KLB BK 2 UK 50 Chem BK 2 UK 85 | |
2 | Kuandika Tahadhari/onyo/ilani | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kuandika kwa hati nadhifu | Kusoma Kujadili Kufanya zoezi | Chaki Ubao Madaftari | KLB BK 2 UK 53 Chem BK 2 UK 119 | ||
3 | Kusikiliza na kuzungumza (Visawe) | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kutamka maneno kwa ufasaha | Kusoma Kueleza maana | Chaki Ubao Madaftari | KLB BK 2 UK Kamusi | ||
4 | Mazungumzo hospitalini | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kueleza sifa za lugha ya hospitalini | Kusoma Kueleza Kuandika nakala | Chaki Ubao Madaftari | Fasaha BK 2 UK 29 KLB BK 2 UK 62 Chem BK 2 UK 159 | ||
5 | MTIHANI | ||||||
6 | Ufasaha wa lugha Misemo | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kutambua maana | Kueleza Kutunga sentensi | Chaki Ubao Madaftari | KLB BK 2 UK 76 | ||
8 | 1 | Ufahamu Maadili mema | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kusoma makala kwa ufasaha | Kusoma Kutaja misamiati Kufanya zoezi | Chaki Ubao Madaftari | KLB BK 2 UK 80-82 | |
2 | Muhtasari | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kutambua hatua muhimu za ufupisho | Kusoma Kufupisha habari | Chaki Ubao Madaftari | KLB BK 2 UK 80-82 | ||
3 | MTIHANI | ||||||
4-6 | LIKIZO FUPI | ||||||
9 | 1-2 | Sarufi Vitenzi | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kutambua aina ya vitenzi na kuvitungia sentensi | Kutoa maana Kutunga sentensi Kufanya zoezi | Chaki Ubao Madaftari | KLB BK 2 UK 83 | |
3 | Isimu jamii Mazungumzo Posta | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kueleza sifa za lugha ya posta | Kusoma kwa sauti Kujadili sifa | Picha | Fasaha BK 2 UK 165 KLB BK 2 UK 89 | ||
4 | Kuandika Insha ya mdokezo | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kuandika hati nadhifu | Kuandika | Mfano | Fasaha BK 2 UK 10 KLB BK 2 UK 87 Chem BK 2 UK 143 | ||
5 | Ufahamu Repoti kuhusu ukimwi | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kusoma kwa makini na kujibu maswali ya ufahamu | Kusoma Kuandika | Nakala | KLB BK 2 UK 91 | ||
6 | MTIHANI
| ||||||
10 | 1 | Ufahamu Udurusu | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kusoma kwa ufasaha | Kusoma na kuandika | Chaki Ubao Madaftari | KLB BK 2 UK 91 | |
2 | MTIHANI | ||||||
3 | Muhtasari repoti kuhusu ukimwi | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kufupisha habari bila kupoteza maana | Kusoma Kufanya zoezi | Chaki Ubao Madaftari | KLB BK 2 UK 91 | ||
4 | Kuandika Insha ya ripoti | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kuandika ripoti kuzingatia mtindo mwafaka | Kueleza Kuandika | Mifano | Fasaha BK 2 UK 55 KLB BK 2 UK 91-94 Chem BK 2 UK 178 | ||
5-6 | Sarufi Viwakilishi | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kutambua aina ya viwakilishi | Kueleza Kutunga sentensi Kufanya zoezi | Chaki Ubao Madaftari | Fasaha BK 2 UK 49 KLB BK 2 UK 94 Chem BK 2 UK 228 | ||
11 | 1 | Kuandika Barua simu | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kuandika barua yenye mantiki | Kueleza Kuandika | Chaki Ubao Madaftari | Fasaha BK 2 UK 175 KLB BK 2 UK 108 Chem BK 2 UK 241 | |
2-3 | Viwakilishi vya pekee, nafsi | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kubainisha na kuvitumia katika sentensi | Kutoa mifano Kutunga sentensi Kufanya zoezi | Chaki Ubao Madaftari | Fasaha BK 2 UK 178 KLB BK 2 UK 98 Chem BK 2 UK 228 | ||
4 | MTIHANI | ||||||
5 | Mazungumzo Kituo cha polisi | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kueleza sifa za lugha inayotumika | Kutaja sifa Kuandika nakala | Chaki Ubao Madaftari | KLB BK 2 UK 102 Chem BK 2 UK 208 | ||
6 | Ufahamu | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kusoma kwa ufasaha | Kusoma Kujadili Kuandika | Chaki Ubao Madaftari | KLB BK 2 UK 104-107 | ||
12 | 1 | Viwakilishi sifa | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kueleza na kutoa mifano katika sentensi | Kutaja Kutunga sentensi Kufanya zoezi | Chaki Ubao Madaftari | Fasaha BK 2 UK 175 KLB BK 2 UK 98 Chem BK 2 UK 241 | |
2 | Viwakilishi idadi | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kueleza na kutoa mifano katika sentensi | Kutaja Kutunga sentensi Kufanya zoezi | Chaki Ubao Madaftari | Fasaha BK 2 UK 175 KLB BK 2 UK 98 Chem BK 2 UK 241 | ||
3 | Vimilikishi
| Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kueleza na kutoa mifano katika sentensi | Kutaja Kutunga sentensi Kufanya zoezi | Chaki Ubao Madaftari | KLB BK 2 UK 109-110 | ||
4 | ‘A” unganifu | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kueleza na kutoa mifano katika sentensi | Kutaja Kutunga sentensi Kufanya zoezi | Chaki Ubao Madaftari | KLB BK 2 UK 109-110 | ||
5 | Viwakilishi virejeshi | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kueleza na kutoa mifano katika sentensi | Kutaja Kutunga sentensi Kufanya zoezi | Chaki Ubao Madaftari | KLB BK 2 UK 113 | ||
6 | MTIHANI | ||||||
13 | 1 | Insha Matangazo ya redio, runinga, magazetini | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kutunga matangazo Kusoma | Kueleza Kusoma Kuandika | Chaki Ubao Madaftari | Fasaha BK 2 UK 163 KLB BK 2 UK 115 | |
2 | MTIHANI | ||||||
3 | Matamshi bora Vitate S na Z | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kutamka maneno kwa ufasha | Kubainisha Kusoma | Chaki Ubao Madaftari | Fasaha BK 2 UK 1 KLB BK 2 UK 120 | ||
4 | Ufahamu Dondoo | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kujibu maswali ya ufahamu | Kusoma Kujadili Kuandika | Chaki Ubao Madaftari | Fasaha BK 2 UK 112 KLB BK 2 UK 122-124 Chem BK 2 UK 168 | ||
5 | Kusoma maktabani Shairi arudhi | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kusoma na kufanya utafiti juu ya ushairi | Kusoma Kutafiti Kuandika | Chaki Ubao Madaftari | Fasaha BK 2 UK 88 KLB BK 2 UK 125 Chem BK 2 UK 177 | ||
6 | Vielezi Vielezi wakati | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kutumia vielezi katika sentensi ipasavyo | Kutambua Kutunga sentensi | Chaki Ubao Madaftari | Fasaha BK 2 UK 60, 62 KLB BK 2 UK 125-126 Chem BK 2 UK 250 | ||
14 | 1 | Insha Kuandika dayolojia | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kuandika kwa hati nadhifu | Kusoma Kujadili Kufanya zoezi | Chaki Ubao Madaftari | Fasaha BK 2 UK 212 KLB BK 2 UK 119 Chem BK 2 UK 233 | |
2-6 | MARUDIO YA MTIHANI | ||||||
15 | 1-4 | KUFUNGA SHULE KWA LIKIZO LA APRILI | |||||
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
| Chaki Ubao Madaftari | Fasaha BK 2 UK KLB BK 2 UK Chem BK 2 UK |