Close Menu
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Citizen News
    • TSC News Portal
    • KMTC News Portal
    • HELB News Portal
    • MONEY & FINANCING
    • Advertise with Us
    • KNEC News Portal
    • Knec Schools Portal
    • KUCCPS News Portal
    • Teachers’ Resources
    Facebook X (Twitter) Instagram
    Citizen News
    Teachers' Resources

    KISWAHILI FORM 3 END TERM EXAMS PLUS ANSWERS IN PDF

    By Maverick JohnMay 31, 2025No Comments8 Mins Read

    CHETI CHA KUHITIMU ELIMU YA SEKONDARI TATHMINI YA PAMOJA

    TATHIMINI YA PAMOJA

    JINA: …………………………………………………………………………………….. NAMBANI YAKO:………………..

    SAHIHI:…………………………………….                                                                TAREHE:…………………………….

    MUDA: SAA 2½

    SHULE YA UPILI YA RUARAKA

    KISWAHILI KIDATO CHA TATU

    MWISHO WA MUHULA

    MUDAL SAA 2½

    MAAGIZO

    • JIBU MASWALI YOTE KWENYE NAFASI ULIZOACHIWA

    KWA MATUMIZI YA MUTAHINI PEKEE

    SWALI UPEO ALAMA
    INSHA 20  
    UFAHAMU 15  
    MATUMIZI YA LUGHA 20  
    ISIMU JAMII 10  
    USHAIRI 15  
    FASIHI 20  
    JUMLA 100  

     

    SEHEMU A: INSHA (ALAMA 20)

    Andika insha ifuatayo. Insha yako isipungue maneno 400.

    Serikali ya Kenya imefanya mengi kuinua viwango vya elimu nchini hasa katika shule za msingi na za sekondari. Andikia waziri wa elimu barua ukipongeza serikali kwa juhudi hizi.

     

     

    SEHEMU B: UFAHAMU (ALAMA 15)

    Soma kifungu kifuatacho kisha ujibu maswali

    Nimekaa na kutafakari kwa muda mrefu juu ya mabilioni ya pesa ambayo yametengwa na serikali ili kudhamini miradi ya maendeleo ya wanawake. Kina mama au wanawake wengine wanakiri na kusema kwamba fedha hizo zimewezesha kuwaondoa katika lindi la unyanyasaji kutoka kwa waume zao, kwani kila mmoja aneheshimu mwenzake kwa sababu ya kipato alicho nacho. Wengi wameweza kuanza biashara ndogondogo ambazo huwaletea angalau kipato kidogo.

    Ukweli ni kwamba fedha hizi zimesaidia kuwatoa wanawake wengi katika unyanyasaji, kwani wengi wanaweza kuanzisha kazi za ujasiri amali na hata kuendesha shughuli mbalimbali za maendeleo. Kutokana na mafanikio haya, wabunge waliopitisha hoja bungeni ya kuanzisha mpango huu wa kuwakwamua wanawake kimaendeleo wanafaa kupongezwa. Mafanikio haya yamewafanya akina mama kujikimu kimaisha na hivyo kutowategemea waume katika kila jambo.

    Ukitaka kujua ukweli kuhusu hili, nenda kwenye masoko utaona akina mama zaidi na hivyo wanapaswa kuwezeshwa kwa kila hali na mali. Akina mama pia wanapaswa kupongezwa kwani wameamua kujitosa kukopa fedha kutoka kwenye taasisi mbalimbali za fedha. Fedha hizo kwa kiwango kikubwa zimewainua kutoka katika ufukara uliokithiri hadi katika maisha ya heshima. Wale ambao hawajajaribu kuchukua mikopo, ni muhimu wafanye hivyo ili wajikimu kimaisha.

    Maisha ya sasa ni magumu, kwa hivyo yahitaji kusaidiana kwa kila hali na mali. Wanaume kwa wanawake ni vyema wachange pesa ili wazumbue riziki. Ushirikiano utarahisisha maisha yaohata hivyo sio tu akina mama hau wameondokewa na unyanyasaji waliokuwa wakipata ndani ya nyumba zao kutoka kwa akina baba, bali hata maswala ya mrundikano wa kesi za kugombea ardhi kwa akina mama zimepungua. Sababu ni kwamba akina mama wengi wameweza kujitafutia ardhi wenyewe kwa fedha walizonazo.

    Ukweli ni kwamba hali imebadilika kinyume na hapo awali, ambapo majumba ya kifahari na mashangingi yalikuwa hifadhi ya wanaume, siku hizi wanawake wamemiliki hayo yote.

     

    Maswali

    1. Ipe taarifa hii anwani         (alama 1)

    …………………………………………………………………………………………………………………………………………

    1. Wabunge wamewafaa wanawake kwa njia gani         (alama 2)

    ………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………

    1. Wanaume walikuwa kikwazo cha maendeleo nchini vipi? (alama 2)

    ………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………

    1. Mfumo wa serikali umewasaidiaje wanawake         (alama 4)

    ………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………

    1. Kulingana na makala haya, toa sababu zinazowafanya baadhi ya wanawake kuishi katika uchochole         (alama 3)

    ……………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………

    1. Ni nini imepanguza kesi za kugombea ardhi kwa akina mama? (alama 1)

    ……………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………

    1. Eleza maana ya misamiati ifuatayo kama ilivyotumiwa katika makala haya
    2. Wazumbue

    ……………………………………………………………………………………………………………………………………

    1. Kujitosa

    ……………………………………………………………………………………………………………………………………

     

     

     

    SEHEMU C : MATUMIZI YA LUGHA (ALAMA 20)

    1. Taja sifa bainifu za sauti /s/         (alama 2)

    ……………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………

    1. Tumia neno mpaka katika sentensi kama; (alama 2)
    2. Nomino

    ……………………………………………………………………………………………………………………………………

    1. Kihusishi

    ……………………………………………………………………………………………………………………………………

    1. Tunga sentensi moja ukionyesha matumizi mawili ya alama ya kuakifisha ifuatayo

    (alama 2)

    Ritifaa/kibainishi

    …………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………….

    1. Bainisha aina za vitenzi katika sentensi hii         (alama 2)

    Mjomba alikuwa tajiri lakini sasa ni maskini.

     

     

    1. Nomino zilizopigiwa mstari ni za ngeli gani? (alama 2)

    Kuonyeshaviambishi katika neno husumbua wanafunzi sana

    ……………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………

    1. Yakinisha sentensi hii         (alama 2)

    Usipokuja kwetu hutampata mama .

    …………………………………………………………………………………………………………………………………………

    1. Eleza maana mbili katika sentensi hii         (alama 2)

    Majambazi walimwibia mkurugenzi gari jipya

    ……………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………

    1. Tofautisha matumizi ya kiashiria ‘huyu’ katika sentensi hii.         (alama 2)

    Huyu aliachishwa kazi na mkurugenzi huyu

    ……………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………

     

    1. Bainisha kirai nomino na kirai kitenzi katika sentensi hii         (alama 2)

    Punda mkongwe ameshindwa kutembea

     

     

    1. Andika katika usemi wa taarifa         (alama 2)

    “Tutawatembelea wazazi wetu leo jioni,” Leo alimwambia Asha

    ……………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………

    SEHEMU YA D : ISUMU JAMII (ALAMA 10)

    1. Eleza sababu nne zinazowafanya watu kubadili msimbo         (alama 4)

    ………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………

    1. Mazungumzo ya mahakamani husheheni sifa zipi?         (alama 6)

    ……………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………..

     

    SEHEMU YA E: USHAIRI (ALAMA 15)

    Soma shairi lifuatalo kisha ujibu maswali yatakayofuata

    Kizazi kijacho,

    Ni kizazi ninachokihurumia!

    Mno ninakisikitikia,

    Hadi kushika tama.

     

    Najua hakitanikuta kamwe,

    Kaburini nitakuwa nimefukiwa,

    Futi sita!

    Lakini sikio langu siku moja,

    Nitalitega kusikiliza vitukuu,

    Vikiulizana maswali

     

    Mti ni nini?

    Eti kuna viumbe nyuni,

    Warukao na kuimba nyimbo nzuri?

    Mababu nasikia eti,

    Maji hawakununua kutoka ng’ambo!

    Mito na maziwa ilijaa maji tele!

    Kiu wakikata na kuoga,

    Eti bahari safi ilikuwa,

    Hadi watu kuongelea?

     

    Nitawacheka!

    La, nitawahurumia,

    La, nitajilaumu mimi,

    Kwani niliyaharibu mazingira hayo.

     

     

     

     

    Maswali

    1. Kwa nini mshairi anakihurumia kizazi kijacho         (alama 2)

    ……………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………

    1. Eleza kile kingetokea kwa maji na mimea (alama 2)

    ……………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………

    1. Eleza dhamira ya mshairi huyu         (alama 2)

    ……………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………

    1. Taja tamathali ya usemi inayojitokeza katika mshororo wa pili ubeti wa pili (alama 1)

    …………………………………………………………………………………………………………………………………………

     

    1. Andika ubeti wa nne kwa lugha ya nathari (alama 4)

    ……………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………

    1. Eleza toni ya shairi hili (alama 1)

    ……………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………

    1. Taja nafsi neni katika shairi hili         (alama 1)

    …………………………………………………………………………………………………………………………………………

    1. Eleza maana ya maneno yafuatayo kama yalivyotumika katika shairi (alama 2)
    2. Vitukuu

    ……………………………………………………………………………………………………………………………………

    1. Mababu

    ……………………………………………………………………………………………………………………………………

     

     

    SEHEMU F: FASIHI (ALAMA 20)

    Chagua swali moja tu kutoka mojawapo wa sehemu zifuatazo: Riwaya, Tamthilia na Hadithi Fupi.

    RIWAYA: CHOZI LA HERI (ASUMPTA MATEI)

    1. a) Eleza athari za mzozo wa baada ya kutawazwa kwa kiongozi katika nchiya wahafidhina (alama 10)
    2. b) Onyesha jinsi haki za watoto zinavyokiukwa katika inchi ya  wahafidhina (alama 10)

     

    TAMTHILIA: KIGOGO (PAULINE KEA)

    1. Onyesha namna Majoka kama Kigogo wa Sagamoyo anavyotumia mamlaka yake vibaya.

    (alama 20)

    HADITHI FUPI: TUMBO LISILOSHIBA NA HADITHI NYINGINE

    1. a) Fafanua jinsi suala la umaskini linajitokeza katika hadithi ya Tumbo Lisiloshiba.

    (alama 10)

    b)”Kama kawaida, kwa mzee mambo na leo tena kuna jambo. Jambo linalotokana na mambo”

    1. Eleza muktadha wa kauli hii. (alama 4)
    2. Fafanua sifa tatu zinazohusishwa na mzee mambo (alama 6)



    CHETI CHA KUHITIMU ELIMU YA SEKONDARI

    TATHMINI YA PAMOJA

    KIDATO CHA TATU

    MWONGOZO WA KUSAHIHISHIA

    1. SEHEMU A- INSHA
    • Mwanafunziaeleze mambo ambayoserikaliya Kenya inafanyakuinuaviwangovyamasomo.
    • Baadhiyahojamwanafunzianatarajiwakutajanakuelezakikamilifuni:
    1. Serikaliinawalipiawanafunziwotekiasikikubwa cha karo.
    • Kilamwakaserikaliinawaajiriwalimukuondoatatizo la uhabawawalimu.
    1. Serikaliinatoapesazakuinuamiundomisingishulenikama vile darasa.
    2. Kupitiambungesherianyingizimetungwanakupitishwazakumlindamwanafunzi
    • Kuwaadhibuwanafunzi wale wanaotovukakinidhamu.
    1. SEHEMU B : UFAHAMU
    2. Maendeleoyawanawake

    Wanawakenauchumi

    (Kadiriajibu la mwanafunzi                                                                            ( 1×1=alama 1)

    1. Wabungewalipitishahojabungeniyakuanzishampangowakuwakwamuawanawakekimaendeleo (alama 2)

    (alama 2)

    1. – Umewaondoleaufukara/kuwaleteakipato.
    1. i) Hawajajaribukuchukuamikopo.
    2. ii) Kutoshirikiananawaumezaokatikakutafutariziki.

    iii) Kunyanyaswanawaumezao.                                                                                   (3 x 1=alama 3)

    1. Akina mama wengiwamewezakujitafutiaardhiwenyewekwafedhawalizonazo.
    2. i) Wapate
    3. ii) Kujiingiza

     

    1. SEHEMU C : MATUMIZI YA LUGHA
    2. – Ni kikwamizo
    • Hutamkiwakwenyeufizi
    • Sautisighuna (zozote 2 x 1=alama 2)
    1. Mfanowasentensi

    Mpakawashuleyetuunafikampakamtoni                                                 ( 2 x 1=alama 2)

    Nomino                                           Kihusishi

    Mtoni

    1. Rafikiyangualiendang’ambomiakaya ’90. ( 2 x 1=alama 2)
    2. Alikuwa – kitenzikishirikishikikamilifu

    ni           -Kitenzikishirikishikipungufu                                                                       ( 2 x 1=alama2)

    1. Kuonyesha – Ngeliya KU

    Viambishi – Ngeliya KI-VI                                                                                               (2 x 1=alama 2)

    1. Ukijakwetuutampata mama                (alama 2)
    2. i) – Kwamanufaayao
    • Kwamanufaayamkurugenzi ( 2 x 1=alama 2)
    1. Huyualiachishwa – Kiwakilishi

    Mkurugenzihuyu – Kivumishikiashiria                                                                    ( 2 x 1=alama 2)

    1. Pundamkongwe- Kirainomino

    ameshindwakutembea – Kiraikitenzi                                                                      ( 2 x 1=alama 2)

    1. Ashaaliwaambiakuwawangewatembeleawaazaziwaosikuhiyojioni (alama2)

     

     

     

     

    1. SEHEMU D : USHAIRI
    2. Kwa vile aliyaharibumazingiranahivyokizazikijachohakitapatakuonamazuriyamazingirahayo. (alama 2)
    3. – Majiyoteyamito, maziwanabahariyangechafukanakukauka.
    • Mimeaingekauka /kukatwa ( 2 x 1=alama 2)
    1. Anazinduawatuwatunzemazingirakwamanufaayakizazikijacho                (alama 2)
    2. Tasfida (alama 1)
    3. Anaonapiahangefayahivyonabadalayakeangejilaumuyeyekwa vile aliyaharibumazingirayale                (alama 4)
    4. Toni yahuruma                (alama 1)
    5. Mtu (mke au mume) wakizazi cha leoaliyekomaanaanayejalimazingira (alama 1)
    6. i) Watakaozaliwasikuzausoni                (alama 1)
    7. ii) Walioishisikuzilizopita (alama 1)

     

    1. SEHEMU E: FASIHI (ALAMA 20)

    RIWAYA CHOZI LA RERI

    1. Atharizamzozowabaadayakutawazwakwakiongozimpyanchiniwahafidhina
    2. Kuzorotakwausalama
    3. Kuuliwakwaraia
    • Ukimbiziwandanikwandani
    1. Kuchomwakwamali
    2. Uporajiwamalihasayawafanyabiashara
    3. Kudidimiakwauchumi
    • Maandamano
    • Kujeruhiwa
    1. Ubakaji
    2. Kukwamakwausafiri
    3. Uharibifuwamazingira
    • Kufurushwa
    • Uharibifuwamisitu
    • Hofuyakushambuliwa
    1. Magonjwa ( zozote 10 x 1=alama 10)
    2. Jinsihakizawatotozinavyokiukwanchiniwahafidhina
    3. Kuchapwa –Ridhaaanamchapamwangeka
    4. Kutotibiwa –watotowawafanyikazikatikashamba la kahawahawatibiwi
    • Kuuliwakwawazaziwao- katika vitakatikamsituwa Mamba,walindausalamawanauawazaziwakimbizinakuwaachawatotowakiwamayatime
    1. Kuibwa-Sauna anawaiba Dick naMwaliko.
    2. Kutelekezwakatikaumaskini – Baba KaivuanamtelekezaKaivukatikaumaskini.
    3. Kuhiniwamalezi – FumbaanamhiniChandachemamalezikwakumtelekezakwanyanyake.
    • Kunyimwachakula-MwangekanaMwangemwananyimwachakulana mama zao.
    • Kutishwa-Dick alitishwana Buda kuwaatasingiziwawiziakikataakulanguadawazakulevya.
    1. KunyanyaswakimapenzimfanoZohali
    2. KutumikishwaMfanoZohali
    3. KutumiwakamavyombovyamapenzimfanoFumbaa
    • Kuajiriwa –Chandachemakuchunamajaniakiwadarasani
    • KuuzamihandaratiMfano Dick
    • KukatizwamasomoMfanoMwalimuna Dick
    1. Kuchomwa-UmatiunamchomaLemi
    • Kukataliwanawazazimfano Baba kipagaanamkanaKipanga.
    • KuuzwaMfano Bi. Kangaraanawanzawasicha;

    Kadiriamajibumengine                                                           ( zozote 10 x 1=alama 10)

     

    KIGOGO

    1. Anaangamizawapinzani wake
    2. Anafungasoko la chapakazi
    • Anaajiriwatuwanasabayao
    1. Kandarasizinatolewakwamapendeleo
    2. Anatumiapolisivibayakuwapiganakuwauawaandamanaji
    3. JelainatumiwakwamanufaayakeMajoka
    • Anaidhinishaupikajiwapombeharamu
    • Majokaanaruhusuuchafuziwamazingira
    • RasilimalizaserikaliyaJimbo la Sagamoyozinatumikakugharamiashereheyasikuyakuzaliwakwake. (zozote 10 x 1=alama 10)

     

    HADITHI FUPI: TUMBO LISILOSHIBA NA HADITHI NYINGINE

    1. Jinsisuala la umaskinilinajitokezakatikahadithiyaTumboLisiloshiba
    2. Maskinihawashauriwikuhusiananamaamuziyanayowahusu K.V kuhamishwa
    1. Madongoporomokanimtaawenyevibandauchwaravinavyozungukwanauozonabubujiko la majimachafu.
    2. Mnaharufuyauvundoinayoudhi
    • Mkahawamshenzi (duni) unapatikanakatikamtaahuu.
    1. WakaziwaMadongoporomokawanaelezwakuwamaskinina Bi. Suruta “Huwawanajalininikuhusuwatumaskinikamasisi?”
    2. (zozote 1 x 10=alama 10)

     

    1. i)Ni maelezoyamwandishi

    Yanahusumaishayaubadhirifuyamzee mambo.

    Mzee mambo ameandaasherehekubwasababumtoto wake wa kwanza anaingianasarina Yule wamwishoameanzakuotameno.

    Mwandishianamdhihakikwaubadhirifuhuuwakujihusishana mambo yasiokuwanamaana.                                                                                                                                        ( 4 x 1=alama 4)

    1. ii) – Mporaji –Mzee mambo nimfanyikazihewaanayeporataifakwakudaikuzifanyiawizarambalimbalikazi.
    • Fisadi –Hafanyikazilakinianapokeamshaharakutokawizarambalimbali.
    • Mnafiki – Anajifichandaniyauchamunguilikujiliwaza.

    (Kadiriamajibumengineyawanafunzi)                                                       ( 3 x 2=alama 6)

     

    1. SEHEMU YA F: ISIMU JAMII
    2. i) Kuonyeshahisiazaok.mkirafiki, furahan.k
    3. ii) Kujinasibishanahadhiyalughaiwapokatikajamiilughamojainahadhikulikonyingine.

    iii) Kuonyeshaumahiriwalughamoja au zaidi

    1. iv) Kujitambulishakatikakundilitumialolugha Fulani.
    2. v) Mtuanapokosamsamiati. (zozote 4 x 1=alama 4)
    3. i) Lugharasminasahihikisarufikutumiwa.
    4. ii) Huzingatiazaidikutoaushahidiilihukumuitolewe.

    iii) Lughayaheshimahutumiwanamawakilinawatuwenginekumuelekeahakimu.

    1. iv) Huhusishakuulizamaswalinakujibizana.
    2. v) Sentensihuwandefunamarudiokwakusudi la kuondoautata.

    vi)Msamiatiwamahakamahutumiwak.mmshtakiwa, kesin.k

    (Mwalimuakadiriemajibumengineyamwanafunzi)                                          ( 6 x 1=alama 6)

    form 3 end term 1 exams 2021 form 3 exams 2019 form 3 exams 2020 form 3 exams pdf form 3 exams with marking scheme form 3 past papers with answers form 3 revision papers with answers pdf form 3 term 2 exams 2021
    Maverick John

    Related Posts

    Grade 7 Term 3 Schemes of Work

    August 29, 2025

    Grade 9 Term 3 Schemes of Work

    August 29, 2025

    Grade 6 Term 3 Schemes of Work

    August 29, 2025

    Grade 8 Term 3 Schemes of Work

    August 29, 2025

    Form 3 Term 3 Schemes of Work

    August 29, 2025

    Form 2 Term 3 Schemes of Work

    August 29, 2025

    GRADE 8 AGRICULTURE & NUTRITION NOTES

    August 29, 2025

    GRADE 9 KISWAHILI LESSON NOTES

    August 29, 2025

    GRADE 9 ENGLISH LESSON NOTES

    August 29, 2025

    TRENDING NOW

    • Grade 7 Term 3 Schemes of Work
    • Grade 9 Term 3 Schemes of Work
    • Grade 6 Term 3 Schemes of Work
    • Grade 8 Term 3 Schemes of Work
    • Form 3 Term 3 Schemes of Work
    • Form 2 Term 3 Schemes of Work
    • GRADE 8 AGRICULTURE & NUTRITION NOTES
    • GRADE 9 KISWAHILI LESSON NOTES
    • GRADE 9 ENGLISH LESSON NOTES
    • Free Grade 8 Integrated Science Notes
    • Free Grade 8 Creative Arts and Sports Notes
    • FREE GRADE 9 SOCIAL STUDIES NOTES
    • FREE GRADE 9 SOCIAL STUDIES NOTES
    • FREE GRADE 8 PRETECHNICAL NOTES
    • FREE GRADE 8 CRE NOTES
    • Form 3 Agriculture Schemes of Work Term 3
    • FORM 2 BIOLOGY SCHEME OF WORK TERM 3
    • FORM 2 AGRICULTURE SCHEME OF WORK TERM 3
    • GRADE 1 CREATIVE ARTS SCHEMES OF WORK 
    • FORM 3 BIOLOGY SCHEME OF WORK TERM 3
    • Grade 9 Term 3 Rationalized Schemes of Work.
    • Grade 8 Term 3 Rationalized Schemes of Work.
    • Grade 7 Term 3 Rationalized Schemes of Work.
    • Maseno School 2025 Pre-mock Exams
    • KCSE 2025 Revision Exams {Full Papers}
    • Grade 7 Free Exams and Marking Schemes
    • Grade 8 Targeter Exams {All Subjects and Answers}
    • Grade 9 Targeter Exams {All Subjects and Answers}
    • Grade 9 Targeter Exams {Plus Answers}
    • Grade 4 Targeter Exams {Plus Answers}
    • Grade 6 Targeter Exams {Plus Answers}
    • Grade 5 Targeter Exams {Plus Answers}
    • Grade 2 Term 2 Exams {Plus Answers}
    • Grade 7 Term 2 Exams {Plus Answers}
    • Grade 9 Term 2 Latest Exams {All Subjects}
    • Grade 7 Term 2 Latest Exams {All Subjects}
    • Grade 6 Term 2 Latest Exams {All Subjects}
    • Agriculture Form One Schemes of Work {As per new School Calendar)
    • CBC TOOLS FOR ASSESSING CORE COMPETENCIES, ALL AREAS – PDF DOWNLOAD
    • Mathematics syllabus pdf Free
    • Free Grade 2 Rationalized CBC Notes
    • Latest Guides For Secondary School Set Books 2022-2026
    • KCSE Mokasa Biology Paper 2 Joint Exams and Marking Schemes Free Access
    • CHEMISTRY FORM 2 NOTES- EDITABLE
    • COMPUTER STUDIES FORM 2 SCHEMES OF WORK TERM 1-3 FREE
    • FORM 1-4 FREE EXAMS DOWNLOADS AND MARKING SCHEMES
    • BIOLOGY PAST KCSE QUESTIONS & ANSWERS PER TOPIC- GENETICS IN PDF
    • Free Biology Form 4 KCSE Exams
    • HOME SCIENCE TEACHING UPDATED NOTES PDF
    • Free Grade 2 CBC Notes, Exams & Schemes of Work Downloads
    • Breaking Education News
    • Breaking News
    • Featured
    • General News
    • HELB News Portal
    • IEBC LATEST NEWS
    • KMTC News Portal
    • KNEC News Portal
    • Knec Schools Portal
    • KUCCPS News Portal
    • Latest Jobs
    • MONEY & FINANCING
    • NHIF and Medical Schemes
    • TEACHERS' NEWS PORTAL
    • Teachers' Resources
    • TSC News Portal
    • Universities and Colleges Portal
    • Breaking Education News
    • Breaking News
    • Featured
    • General News
    • HELB News Portal
    • IEBC LATEST NEWS
    • KMTC News Portal
    • KNEC News Portal
    • Knec Schools Portal
    • KUCCPS News Portal
    • Latest Jobs
    • MONEY & FINANCING
    • NHIF and Medical Schemes
    • TEACHERS' NEWS PORTAL
    • Teachers' Resources
    • TSC News Portal
    • Universities and Colleges Portal
    Archives
    • September 2025
    • August 2025
    • July 2025
    • June 2025
    • May 2025
    Facebook X (Twitter) Instagram Pinterest
    • TSC News Portal
    • KMTC News Portal
    • HELB News Portal
    • MONEY & FINANCING
    • Advertise with Us
    • KNEC News Portal
    • Knec Schools Portal
    • KUCCPS News Portal
    • Teachers’ Resources
    © 2025 ThemeSphere. Designed by ThemeSphere.

    Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.