AZIMIO LA KAZI
KIDATO CHA PILI MUHULA WA I
ASILIA
- KLB
- Mwongozo wa Mwalimu
- Oxford
- Kamusi
Get the PDF Schemes Here; Schemes of work for all subjects, free updated downloads
JUMA | KIPINDI | SOMO | SHABAHA | MBINU | VIFAA | ASILIA | MAONI |
1 | 4-6 | KUFUNGUA SHULE NA KUSAHIHISHA KAZI YA LIKIZO | |||||
2 | 1 | MTIHANI | |||||
2 | Isimu Jamii Mazungumzo hotelini | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Wanafunzi waweze kutamka maneno ipasavyo Waweze kueleza sifa za lugha ya hotelini | Kusoma Kueleza sifa | Chaki Ubao Madaftari | Fasaha BK 1 UK 11 KLB BK 2 UK 1-3 Chem BK 2 UK 26 | ||
3 | Fasihi Vipengele muhimu Ploti mahusika | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kueleza vipengele Kueleza wahusika na sifa zao | Kueleza Kutoa mifano | Chaki Ubao Madaftari | Fasaha BK 2 UK 42, 64 KLB BK 2 UK 3-8 Chem BK 2 UK 8 | ||
4 | Fasihi Dhamira/maudhui | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kueleza maana ya maudhui, dhamira na kutoa mifano | Kueleza Kutoa mifano | Chaki Ubao Madaftari | Fasaha BK 2 UK 42, 64 KLB BK 2 UK 3-8 Chem BK 2 UK 8 | ||
5 | Fasihi Mtindo wa lugha na sanaa | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kutofautisha mitindo miwili | Kueleza Kutambua | Chaki Ubao Madaftari | Fasaha BK 2 UK 42, 64 KLB BK 2 UK 3-8 Chem BK 2 UK 8 | ||
6 | Uchambuzi wa fasihi | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kuchambua makala ya fasihi | Kusoma Kujibu maswali | Chaki Ubao Madaftari | KLB BK 2 UK 6-8 Chem BK 2 UK 8 | ||
3 | 1 | Sarufi Mofimu | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kueleza maana ya mofimu | Kueleza Kutoa mifano | Chaki Ubao Madaftari | Fasaha BK 2 UK 102 KLB BK 2 UK 8-9 Chem BK 2 UK 6-8 | |
2 | MTIHANI | ||||||
3 | Sarufi Viambishi | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kutofautisha viambishi awali na tamati | Kusoma Kuandika | Chaki Ubao Madaftari | Fasaha BK 2 UK 114 KLB BK 2 UK 10 Chem BK 2 UK 114 | ||
4 | Insha ya maigizo | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kuandika mchezo wa kuigiza | Kueleza Kuandika | Chaki Ubao Madaftari | Fasaha BK 2 UK 22 KLB BK 2 UK 12 Chem BK 2 UK 29 | ||
5 | Isimu Jamii Uhusiano wa kitabaka | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kueleza jinsi ambavyo watu wa matabaka mbalimbali wanavyohusiana | Kusoma Kujadili | Chaki Ubao Madaftari | Fasaha BK 2 UK 22 KLB BK 2 UK 13 Chem BK 2 UK 29 | ||
6 | Ufahamu Matumizi ya kamusi | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kusoma makala na kujibu maswali ya ufahamu | Kusoma Kujadili Kujibu maswali | Chaki Ubao Madaftari | KLB BK 2 UK 15 | ||
4 | 1 | Sarufi Nomino | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kutambua aina za nomino | Kueleza kwa kutoa mifano kuandika | Chaki Ubao Madaftari | Fasaha BK 2 UK 6 KLB BK 2 UK 29 Chem BK 2 UK 28 | |
2 | Nomino | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kufafanua aina za nomino | Kueleza/kutaja Kutoa mifano Kufanya zoezi | Chaki Ubao Madaftari | Fasaha BK 2 UK 6 KLB BK 2 UK 29 Chem BK 2 UK 28 | ||
3 | MTIHANI | ||||||
4-6 | Vivumishi | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kubainisha aina ya vivumishi | Kueleza/kutaja Kutoa mifano Kufanya zoezi | Chaki Ubao Madaftari | KLB BK 2 UK 22 | ||
5 | 1 | Insha ya mahojiano | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kutofautisha dayolojia na mahojiano | Kueleza/kutaja Kutoa mifano Kufanya zoezi | Chaki Ubao Madaftari | Fasaha BK 2 UK 31 KLB BK 2 UK 29 Chem BK 2 UK 214 | |
2 | Fasihi Vitendawili | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kubainisha vitendawili mbalimbali | Kusoma Kutoa mifano Kufanya zoezi | Chaki Ubao Madaftari | Fasaha BK 2 UK 109-117 KLB BK 2 UK 30 Chem BK 2 UK 184 | ||
3 | MTIHANI | ||||||
4 | Mafumbo | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kubainisha aina za mafumbo | Kusoma Kutoa mifano Kutoa majibu | Chaki Ubao Madaftari | Fasaha BK 2 UK 57 KLB BK 2 UK 30 Chem BK 2 UK 184 | ||
5-6 | Ufahamu Uchafuzi wa mazingira | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kujibu maswali ya msamiati | Kusoma Kujadili Kufanya zoezi | Chaki Ubao Madaftari | KLB BK 2 UK 33 | ||
6 | 1 | Sarufi Vivumishi | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kutambua na kutunga sentensi | Kutoa mifano Kutunga sentensi Kufanya zoezi | Chaki Ubao Madaftari | Fasaha BK 2 UK 37 KLB BK 2 UK 36 Chem BK 2 UK 74 | |
2-3 | Fasihi Mighani/visakale | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kutoa maana na mifano Kutaja sifa | Kutaja Kutoa mifano | Chaki Ubao Madaftari | Fasaha BK 2 UK 74 KLB BK 2 UK 58 Chem BK 2 UK 196 | ||
4 | MTIHANI | ||||||
5 | Ufahamu | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kuboresha matamshi yao | Kuandika | Chaki Ubao Madaftari | KLB BK 2 UK 80 | ||
6 | Muhtasari | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Waweze kusoma makala na kuyafupisha ipasavyo | Kusoma Kuandika | Chaki Ubao Madaftari | KLB BK 2 UK 82 | ||
7 | 1 | Viwakilishi | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kutaja aina ya viwakilishi na kuvitungia sentensi | Kutambua Kutunga sentensi | Chaki Ubao Madaftari | Fasaha BK 2 UK 37 KLB BK 2 UK 50 Chem BK 2 UK 85 | |
2 | Kuandika Tahadhari/onyo/ilani | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kuandika kwa hati nadhifu | Kusoma Kujadili Kufanya zoezi | Chaki Ubao Madaftari | KLB BK 2 UK 53 Chem BK 2 UK 119 | ||
3 | Kusikiliza na kuzungumza (Visawe) | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kutamka maneno kwa ufasaha | Kusoma Kueleza maana | Chaki Ubao Madaftari | KLB BK 2 UK Kamusi | ||
4 | Mazungumzo hospitalini | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kueleza sifa za lugha ya hospitalini | Kusoma Kueleza Kuandika nakala | Chaki Ubao Madaftari | Fasaha BK 2 UK 29 KLB BK 2 UK 62 Chem BK 2 UK 159 | ||
5 | MTIHANI | ||||||
6 | Ufasaha wa lugha Misemo | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kutambua maana | Kueleza Kutunga sentensi | Chaki Ubao Madaftari | KLB BK 2 UK 76 | ||
8 | 1 | Ufahamu Maadili mema | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kusoma makala kwa ufasaha | Kusoma Kutaja misamiati Kufanya zoezi | Chaki Ubao Madaftari | KLB BK 2 UK 80-82 | |
2 | Muhtasari | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kutambua hatua muhimu za ufupisho | Kusoma Kufupisha habari | Chaki Ubao Madaftari | KLB BK 2 UK 80-82 | ||
3 | MTIHANI | ||||||
4-6 | LIKIZO FUPI | ||||||
9 | 1-2 | Sarufi Vitenzi | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kutambua aina ya vitenzi na kuvitungia sentensi | Kutoa maana Kutunga sentensi Kufanya zoezi | Chaki Ubao Madaftari | KLB BK 2 UK 83 | |
3 | Isimu jamii Mazungumzo Posta | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kueleza sifa za lugha ya posta | Kusoma kwa sauti Kujadili sifa | Picha | Fasaha BK 2 UK 165 KLB BK 2 UK 89 | ||
4 | Kuandika Insha ya mdokezo | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kuandika hati nadhifu | Kuandika | Mfano | Fasaha BK 2 UK 10 KLB BK 2 UK 87 Chem BK 2 UK 143 | ||
5 | Ufahamu Repoti kuhusu ukimwi | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kusoma kwa makini na kujibu maswali ya ufahamu | Kusoma Kuandika | Nakala | KLB BK 2 UK 91 | ||
6 | MTIHANI
| ||||||
10 | 1 | Ufahamu Udurusu | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kusoma kwa ufasaha | Kusoma na kuandika | Chaki Ubao Madaftari | KLB BK 2 UK 91 | |
2 | MTIHANI | ||||||
3 | Muhtasari repoti kuhusu ukimwi | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kufupisha habari bila kupoteza maana | Kusoma Kufanya zoezi | Chaki Ubao Madaftari | KLB BK 2 UK 91 | ||
4 | Kuandika Insha ya ripoti | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kuandika ripoti kuzingatia mtindo mwafaka | Kueleza Kuandika | Mifano | Fasaha BK 2 UK 55 KLB BK 2 UK 91-94 Chem BK 2 UK 178 | ||
5-6 | Sarufi Viwakilishi | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kutambua aina ya viwakilishi | Kueleza Kutunga sentensi Kufanya zoezi | Chaki Ubao Madaftari | Fasaha BK 2 UK 49 KLB BK 2 UK 94 Chem BK 2 UK 228 | ||
11 | 1 | Kuandika Barua simu | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kuandika barua yenye mantiki | Kueleza Kuandika | Chaki Ubao Madaftari | Fasaha BK 2 UK 175 KLB BK 2 UK 108 Chem BK 2 UK 241 | |
2-3 | Viwakilishi vya pekee, nafsi | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kubainisha na kuvitumia katika sentensi | Kutoa mifano Kutunga sentensi Kufanya zoezi | Chaki Ubao Madaftari | Fasaha BK 2 UK 178 KLB BK 2 UK 98 Chem BK 2 UK 228 | ||
4 | MTIHANI | ||||||
5 | Mazungumzo Kituo cha polisi | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kueleza sifa za lugha inayotumika | Kutaja sifa Kuandika nakala | Chaki Ubao Madaftari | KLB BK 2 UK 102 Chem BK 2 UK 208 | ||
6 | Ufahamu | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kusoma kwa ufasaha | Kusoma Kujadili Kuandika | Chaki Ubao Madaftari | KLB BK 2 UK 104-107 | ||
12 | 1 | Viwakilishi sifa | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kueleza na kutoa mifano katika sentensi | Kutaja Kutunga sentensi Kufanya zoezi | Chaki Ubao Madaftari | Fasaha BK 2 UK 175 KLB BK 2 UK 98 Chem BK 2 UK 241 | |
2 | Viwakilishi idadi | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kueleza na kutoa mifano katika sentensi | Kutaja Kutunga sentensi Kufanya zoezi | Chaki Ubao Madaftari | Fasaha BK 2 UK 175 KLB BK 2 UK 98 Chem BK 2 UK 241 | ||
3 | Vimilikishi
| Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kueleza na kutoa mifano katika sentensi | Kutaja Kutunga sentensi Kufanya zoezi | Chaki Ubao Madaftari | KLB BK 2 UK 109-110 | ||
4 | ‘A” unganifu | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kueleza na kutoa mifano katika sentensi | Kutaja Kutunga sentensi Kufanya zoezi | Chaki Ubao Madaftari | KLB BK 2 UK 109-110 | ||
5 | Viwakilishi virejeshi | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kueleza na kutoa mifano katika sentensi | Kutaja Kutunga sentensi Kufanya zoezi | Chaki Ubao Madaftari | KLB BK 2 UK 113 | ||
6 | MTIHANI | ||||||
13 | 1 | Insha Matangazo ya redio, runinga, magazetini | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kutunga matangazo Kusoma | Kueleza Kusoma Kuandika | Chaki Ubao Madaftari | Fasaha BK 2 UK 163 KLB BK 2 UK 115 | |
2 | MTIHANI | ||||||
3 | Matamshi bora Vitate S na Z | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kutamka maneno kwa ufasha | Kubainisha Kusoma | Chaki Ubao Madaftari | Fasaha BK 2 UK 1 KLB BK 2 UK 120 | ||
4 | Ufahamu Dondoo | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kujibu maswali ya ufahamu | Kusoma Kujadili Kuandika | Chaki Ubao Madaftari | Fasaha BK 2 UK 112 KLB BK 2 UK 122-124 Chem BK 2 UK 168 | ||
5 | Kusoma maktabani Shairi arudhi | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kusoma na kufanya utafiti juu ya ushairi | Kusoma Kutafiti Kuandika | Chaki Ubao Madaftari | Fasaha BK 2 UK 88 KLB BK 2 UK 125 Chem BK 2 UK 177 | ||
6 | Vielezi Vielezi wakati | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kutumia vielezi katika sentensi ipasavyo | Kutambua Kutunga sentensi | Chaki Ubao Madaftari | Fasaha BK 2 UK 60, 62 KLB BK 2 UK 125-126 Chem BK 2 UK 250 | ||
14 | 1 | Insha Kuandika dayolojia | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kuandika kwa hati nadhifu | Kusoma Kujadili Kufanya zoezi | Chaki Ubao Madaftari | Fasaha BK 2 UK 212 KLB BK 2 UK 119 Chem BK 2 UK 233 | |
2-6 | MARUDIO YA MTIHANI | ||||||
15 | 1-4 | KUFUNGA SHULE KWA LIKIZO LA APRILI | |||||
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze;
| Chaki Ubao Madaftari | Fasaha BK 2 UK KLB BK 2 UK Chem BK 2 UK |
AZIMIO LA KAZI
KIDATO CHA PILI
MUHULA WA II
ASILIA
- KLB
- Mwongozo wa Mwalimu
- Oxford
- Kamusi
JUMA | KIPINDI | SOMO | SHABAHA | MBINU | VIFAA | ASILIA | MAONI |
1 | 4-6 | KUFUNGUA | |||||
2 | 1 | Vielezi jinsi/namna | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kubainisha vielezi katika lugha | Kutambua Kutunga sentensi | Chaki Ubao Madaftari | KLB BK 2 UK 127-128 Fasaha BK 2 UK 61 Chem BK 2 UK 250 | |
2 | MTIHANI | ||||||
3 | Vielezi idadi | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kuvitumia katika lugha | Kutambua Kutunga sentensi Kufanya zoezi | Chaki Ubao Madaftari | KLB BK 2 UK 128-129 Fasaha BK 2 UK 62 Chem BK 2 UK 250, 253 | ||
4 | Vielezi mahali | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kutambua vielezi mahali | Kutambua Kuandika | Chaki Ubao Madaftari | KLB BK 2 UK 129-131 Fasaha BK 2 UK 62 Chem BK 2 UK 250, 253 | ||
5 | Kuandika Ratiba | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kuandika hati nadhifu yenye mantiki | Kusoma Kujadili Kuandika | Chaki Ubao Madaftari | KLB BK 2 UK 131-133 Fasaha BK 2 UK 43 Chem BK 2 UK 45 | ||
6 | Matamshi bora Vitate ‘d’ na ‘nd’ | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kusoma maneno kwa ufasaha | Kusoma | Chaki Ubao Madaftari | KLB BK 2 UK 134 Fasaha BK 2 UK 79 Chem BK 2 UK 85 | ||
3 | 1 | Ufahamu Mahali pa watu wengi | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kujibu maswali ya msamiati | Kusoma Kujadili Kuandika | Chaki Ubao Madaftari | KLB BK 2 UK 134-136 Fasaha BK 2 UK 58 Chem BK 2 UK 216 | |
2 | Kusoma Ushairi | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kusoma kwa ufasaha | Kusoma Kujadili | Chaki Ubao Madaftari | KLB BK 2 UK 137-140 Fasaha BK 2 UK 124 | ||
3 | MTIHANI | ||||||
4 | Kusoma Muhtasari | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kufupisha makala | Kusoma Kutambua hoja Kuandika | Chaki Ubao Madaftari | KLB BK 2 UK 140 Fasaha BK 2 UK 146 Chem BK 2 UK 57 | ||
5 | Kusoma Uchambuzi | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kubainisha sehemu mbalimbali za shairi | Kusoma Kutambua Kuandika | Chaki Ubao Madaftari | KLB BK 2 UK 140 Fasaha BK 2 UK 211 Chem BK 2 UK 82 | ||
6 | Sarufi Viunganishi Ila, sababu | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kuvitumia katika lugha | Kutambua Kutunga sentensi Kufanya zoezi | Chaki Ubao Madaftari | KLB BK 2 UK 140-141 Fasaha BK 2 UK 72 | ||
4 | 1 | Viunganishi
| Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kubainisha katika lugha | Kutambua Kutunga sentensi | Chaki Ubao Madaftari | KLB BK 2 UK 141 Fasaha BK 2 UK 72 | |
2 | Vihusishi | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kubainisha katika sentensi | Kusoma Kutambua Kutunga sentensi | Chaki Ubao Madaftari | KLB BK 2 UK 142-143 Fasaha BK 2 UK 93 Chem BK 2 UK 212 | ||
3 | Vihisishi | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kuvitumia kwa ufasaha katika lugha | Kutambua Kutunga sentensi Kufanya zoezi | Chaki Ubao Madaftari | KLB BK 2 UK 143-145 Fasaha BK 2 UK 84 | ||
4 | MTIHANI | ||||||
5 | Kuandika Taarifa | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kuandika mtungo wenye mantiki | Kusoma Kujadili Kuandika | Chaki Ubao Madaftari | KLB BK 2 UK 145 Fasaha BK 2 UK 159 Chem BK 2 UK 178 | ||
6 | Fasihi Shairi: Mwanamke | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kusoma na kubainisha vipengele vya shairi | Kusoma Kujadili Kuandika | Chaki Ubao Madaftari | KLB BK 2 UK 148-150 Fasaha BK 2 UK 30 Chem BK 2 UK 177 | ||
5 | 1 | Kusoma Ufahamu wa kusikiliza | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kusoma kwa ufasaha | Kusoma Kujadili Kuandika | Chaki Ubao Madaftari | KLB BK 2 UK 146-148 Fasaha BK 2 UK 70 Chem BK 2 UK 216 | |
2 | Fasihi Maigizo | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kuiga maneno na matendo vya watu wengine | Kuzungumza Kuiga | Mchezo | KLB BK 2 UK 148 Fasaha BK 2 UK 200, 201 Chem BK 2 UK 171 | ||
3 | Sarufi Kinyume: oa, ua | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kubainisha vinyume vya vitenzi | Kusoma Kutambua Kufanya zoezi | Chaki Ubao Madaftari | KLB BK 2 UK 150-151 Fasaha BK 2 UK 182-183 Chem BK 2 UK 140 | ||
4 | Kinyume Neno tofauti | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kutambua vinyume vya vitenzi | Kutambua Kufanya zoezi | Chaki Ubao Madaftari | KLB BK 2 UK 151-152 Fasaha BK 2 UK 182-183 Chem BK 2 UK 140 | ||
5 | MTIHANI | ||||||
6 | Kuandika Maelezo | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kuandika mtungo wenye mantiki | Kusoma Kufanya zoezi | Mfano | KLB BK 2 UK 153 Chem BK 2 UK 21 | ||
6 | 1 | Fasihi Tamthlia | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kubainisha vipengele vya tamthilia | Kusoma Kujadili | Chaki Ubao | KLB BK 2 UK 150 Kifo kisimani | |
2-3 | Kusikiliza, kusoma. Mjadala | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kuendeleza kipawa cha kuzungumza kwa ufasaha | Kusoma © Education Plus Agencies Kuzungumza | Mjadala | KLB BK 2 UK 154-156 Fasaha BK 2 UK 120 Chem BK 2 UK 50 | ||
4 | Kusoma Msamiati | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kusoma na kutafiti msamiati wa bunge | Kusoma Kutafiti | Kamusi Chaki Ubao Madaftari | KLB BK 2 UK 157-158 Fasaha BK 2 UK 82 | ||
5 | Kusoma Ufahamu | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kujibu maswali ya ufahamu | Kusoma Kujadili Kufanya zoezi | Chaki Ubao Madaftari | KLB BK 2 UK 158-160 Fasaha BK 2 UK 92 | ||
6 | MTIHANI | ||||||
7 | 1 | MTIHANI | |||||
7 | 2 | Sarufi Nyakati Kukanusha | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kubainisha nyakati mbalimbali | Kutambua Kuandika | Chaki Ubao Madaftari | KLB BK 2 UK 161 Fasaha BK 2 UK 84 Chem BK 2 UK 131 | |
3 | Hali ya nge- na ukanusho wake | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kutumia nge na kukanusha sentensi | Kutambua Kutunga sentensi | Chaki Ubao Madaftari | KLB BK 2 UK 161-162 Fasaha BK 2 UK 86-87 Chem BK 2 UK 150 | ||
4-6 | |||||||
8 | 1 | MTIHANI | |||||
2 | Hali ya ngeli na ukanushaji | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kutumia ngeli katika sentensi kisha kukanusha | Kutambua Kutunga sentensi Kukanusha | Chaki Ubao Madaftari | KLB BK 2 UK 162 Fasaha BK 2 UK 86-87 Chem BK 2 UK 150 | ||
3 | Ngali na ukanushaji | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kutumia ngali katika sentensi kisha kukanusha | Kutambua Kutunga sentensi Kukanusha | Chaki Ubao Madaftari | KLB BK 2 UK 163 Fasaha BK 2 UK 86-87 Chem BK 2 UK 150 | ||
4 | ‘Po’ na ukanushaji | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kutumia ‘Po’ katika sentensi kisha kukanusha | Kutambua Kutunga sentensi Kukanusha | Chaki Ubao Madaftari | KLB BK 2 UK 164-165 Fasaha BK 2 UK 86 Chem BK 2 UK 264 | ||
5 | Kuandika Resipe | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kuandika hati nadhifu | Kusoma Kuandika | Chaki Ubao Madaftari | KLB BK 2 UK 165-166 Fasaha BK 2 UK 19 Chem BK 2 UK 269
| ||
6 | Matamshi bora f na v | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kuboresha lugha kwa kutamka maneno kwa ufasaha | Kusoma Kuandika | Chaki Ubao Madaftari | KLB BK 2 UK 167 Fasaha BK 2 UK 79 Chem BK 2 UK 210 | ||
9 | 1 | Vitanze ndimi | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kuboresha matamshi kwa kusoma sentensi kwa ufasaha | Kusoma | Chaki Ubao Madaftari | KLB BK 2 UK 168 Fasaha BK 2 UK 121 | |
2 | MTIHANI | ||||||
3 | Imla Sauti t, d, f, v | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kuandika maneno ambayo anasomewa na mwalimu | Kusikiliza Kuandika | Chaki Ubao Madaftari | KLB BK 2 UK 168 Fasaha BK 2 UK 189 Chem BK 2 UK 185, 210, 167 | ||
4-5 | Fasihi Visasili | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kujadili/kuchambua hadithi aliyopewa | Kusoma Kuandika Kujadili | Chaki Ubao Madaftari | KLB BK 2 UK 168-171 Fasaha BK 2 UK 95 Chem BK 2 UK 15 | ||
6 | Kusoma | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kuboresha matamshi yake kwa kusoma kwa ufasaha | Kusoma Kuandika Kujadili | Chaki Ubao Madaftari | KLB BK 2 UK 171-174 Fasaha BK 2 UK 100 Chem BK 2 UK 68 | ||
10 | 1 | Uchambuzi | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kubainisha mahusika, fani | Kusoma Kuandika Kujadili | Chaki Ubao Madaftari | KLB BK 2 UK 174 Fasaha BK 2 UK 106 | |
2 | Sarufi Sentensi sahili | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kutunga sentensi sahili | Kusoma Kuandika Kujadili | Chaki Ubao Madaftari | KLB BK 2 UK 174-175 Chem BK 2 UK 186, 201 | ||
3 | Sentensi ambatano | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kutunga sentensi ambatano | Kusoma Kuandika Kujadili | Chaki Ubao Madaftari | KLB BK 2 UK 175 Fasaha BK 2 UK 194 Chem BK 2 UK 210 | ||
4 | MTIHANI | ||||||
5 | Upambanuzi wa sentensi ambatano | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kupambanua sentensi ambatano kwa njia mbalimbali | Kutunga sentensi Kupambanua | Chaki Ubao Madaftari | KLB BK 2 UK 175-177 Fasaha BK 2 UK 207 Chem BK 2 UK 186 | ||
6 | Kuandika Risala | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kuandika mtungo wenye mantiki | Kuandika | Chaki Ubao Madaftari | KLB BK 2 UK 177-178 Fasaha BK 2 UK 97 Chem BK 2 UK 243 | ||
11 | 1 | MTIHANI | |||||
2 | Fasihi Ushairi Nyimbo za arusi | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kuimba nyimbo mbalimbali za arusi | Kuimba | Sauti | KLB BK 2 UK 179-181 Chem BK 2 UK 113 | ||
3 | Misemo | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kutumia misemo katika sentensi | Kutaja Kutoa maana Kutunga sentensi | Chaki Ubao Madaftari | KLB BK 2 UK 181-183 Fasaha BK 2 UK 45 Chem BK 2 UK 138 | ||
4 | Kusoma Shairi huru | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kuchambua shairi alilopewa | Kusoma Kuchambua | Chaki Ubao Madaftari | KLB BK 2 UK 183-184 Fasaha BK 2 UK 211 Chem BK 2 UK 231 | ||
5 | Sarufi Mnyambuliko I wa vitenzi Kauli ya kutendwa, kutendewa | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kunyambua vitenzi katika kauli ya kutendwa na kutendewa | Kutambua Kunyambua | Chaki Ubao Madaftari | KLB BK 2 UK 185-186 Fasaha BK 2 UK 156-158 Chem BK 2 UK 175, 219 | ||
6 | Mnyambuliko II | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kunyambua vitenzi katika kauli ya tendeka, tendana | Kutambua Kunyambua | Chaki Ubao Madaftari | KLB BK 2 UK 185-186 Fasaha BK 2 UK 156-158 Chem BK 2 UK 175, 219 | ||
12 | 1 | Mnyambuliko III | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kunyambua vitenzi katika kauli ya tendeana, tendeshwa, tendezana, tendeshea | Kutambua Kunyambua Kufanya zoezi | Chaki Ubao Madaftari | KLB BK 2 UK 185-186 Fasaha BK 2 UK 156, 158 Chem BK 2 UK 175, 219 | |
2 | MTIHANI | ||||||
3 | Fasihi Methali | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kubainisha maana za methali aliyopewa | Kutambua Kutoa maana | Chaki Ubao Madaftari | KLB BK 2 UK 187-190 Fasaha BK 2 UK 67 Chem BK 2 UK 40 | ||
4 | Kusoma Ufahamu | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kujibu maswali ya ufahamu | Kusoma Kuandika | Chaki Ubao Madaftari | KLB BK 2 UK 190-192 Fasaha BK 2 UK 123 Chem BK 2 UK 60 | ||
5 | Ufahamu Tarakilishi | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kujibu maswali ya msamiati | Kusoma Kujadili Kuandika | Chaki Ubao Madaftari | KLB BK 2 UK 192-194 Fasaha BK 2 UK 180 Chem BK 2 UK 157 | ||
6 | Fasihi Riwaya | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kuchambua riwaya aliyosoma | Kusoma Kujadili Kuandika | Chaki Ubao Madaftari | KLB BK 2 UK 195 Fasaha BK 2 UK 160, 223 Chem BK 2 UK 8 | ||
13 | 1-4 | KUFUNGA SHULE KWA LIKIZO YA AGOSTI |
AZIMIO LA KAZI
KIDATO CHA PILI MUHULA WA III
ASILIA
- KLB
- Mwongozo wa Mwalimu
- Oxford
- Kamusi
JUMA | KIPINDI | SOMO | SHABAHA | MBINU | VIFAA | ASILIA | MAONI |
1 | 4-6 | KUFUNGUA NA KUSAHIHISHA KAZI YA LIKIZO | |||||
2 | 1 | Sarufi Uakifishaji | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kubainisha alama mbalimbali za uakifishaji | Kutambua Kuandika | Chaki Ubao Madaftari | KLB BK 2 UK 196-199 Fasaha BK 2 UK 187 Chem BK 2 UK 9 | |
2 | Kuandika Barua rasmi | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kuandika mtungo wenye mantiki | Kuandika | Chaki Ubao Madaftari | KLB BK 2 UK 196-199 Fasaha BK 2 UK 187 Chem BK 2 UK 9 | ||
3 | MTIHANI | ||||||
4 | Kuandika Maelezo/maagizo | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kuandika hati nadhifu | Kuandika | Chaki Ubao Madaftari | KLB BK 2 UK 199 Fasaha BK 2 UK 131 Chem BK 2 UK 223 | ||
5 | Fasihi Hekaya | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kuchambua hadithi aliyopewa | Kusoma Kuandika | Chaki Ubao Madaftari | KLB BK 2 UK 200-202 Chem BK 2 UK 102 | ||
6 | Kusoma Ufahamu | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kujibu maswali ya ufahamu | Kusoma Kujadili Kuandika | Chaki Ubao Madaftari | KLB BK 2 UK 202-204 Chem BK 2 UK 181 | ||
3 | 1 | Kusoma Muhtasari | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kufupisha makala bila kupoteza maana | Kusoma Kufupisha | Chaki Ubao Madaftari | KLB BK 2 UK 205 Fasaha BK 2 UK 73 Chem BK 2 UK 118 | |
2 | Sarufi Usemi halisi | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kutumia usemi halisi katika sentensi | Kutambua Kutunga sentensi Kufanya zoezi | Chaki Ubao Madaftari | KLB BK 2 UK 205-206 Fasaha BK 2 UK 53 Chem BK 2 UK 126 | ||
3 | Usemi wa taarifa | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kubainisha usemi wa taarifa katika sentensi | Kutambua Kutunga sentensi Kufanya zoezi | Chaki Ubao Madaftari | KLB BK 2 UK 206-207 Fasaha BK 2 UK 53 Chem BK 2 UK 126 | ||
4 | MTIHANI | ||||||
5-6 | Usemi wa taarifa na halisi | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kutofautisha usemi halisi kutoka kwa usemi wa taarifa | Kutunga sentensi Kufanya zoezi | Chaki Ubao Madaftari | KLB BK 2 UK 207-208 Fasaha BK 2 UK 53 Chem BK 2 UK 126
| ||
4 | 1 | Kuandika Barua mialiko Harusi | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kuandika mtungo wenye mantiki | Kuandika | Chaki Ubao Madaftari | KLB BK 2 UK 208-209 Fasaha BK 2 UK 65 Chem BK 2 UK 70 | |
2 | Kuandika Hauli | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kuandika mtungo wenye mantiki | Kuandika | Chaki Ubao Madaftari | KLB BK 2 UK 209 Fasaha BK 2 UK 65 Chem BK 2 UK 70 | ||
3 | Fasihi Ushairi Wimbo wa uchumba | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kuchambua wimbo aliopewa | Kuimba Kuchambua | Chaki Ubao Madaftari | KLB BK 2 UK 210-211 Fasaha BK 2 UK 126 Chem BK 2 UK 82 | ||
4 | Fasihi Methali | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kuandika methali inayolingana na maelezo aliyopewa | Kusoma Kuandika | Chaki Ubao Madaftari | KLB BK 2 UK 211-212 Fasaha BK 2 UK 67 Chem BK 2 UK 40 | ||
5 | MTIHANI | ||||||
6 | Kusoma Janga la ukimwi | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kuuliza maswali kulingana na makala | Kusoma Kutunga maswali Kuandika | Chaki Ubao Madaftari | KLB BK 2 UK 212-215 | ||
5 | 1 | Kusoma maktabani | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kufanya utafiti kuhusu janga la ukimwi | Kusoma Kuandika | Makala Madaftari | Magazeti Majarida Fasaha BK 2 UK 203 | |
2 | Sarufi Kuunda nomino I | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kuunda nomino kutokana na vitenzi | Kutambua Kuunda Kuandika | Chaki Ubao Madaftari | KLB BK 2 UK 216 Fasaha BK 2 UK 183 | ||
3 | Kuunda nomino II | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kuunda nomino kutokana na vivumishi | Kutambua kuunda | Chaki Ubao Madaftari | KLB BK 2 UK 217 Fasaha BK 2 UK 183 | ||
4 | Kuunda nomino III | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kuunda nomino kutokana na nomino | Kutambua Kuunda | Chaki Ubao Madaftari | KLB BK 2 UK 217 Fasaha BK 2 UK 183 Chem BK 2 UK 203 | ||
5 | Uundaji IV | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kufanya zoezi ipasavyo | Kufanya zoezi | Chaki Ubao Madaftari | KLB BK 2 UK 218-219 Chem BK 2 UK 203 | ||
6 | MTIHANI | ||||||
6 | 1 | Kuandika Orodha ya mambo | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kuandika mtungo wenye mantiki | Kusikiliza Kuandika | Chaki Ubao Madaftari | KLB BK 2 UK 219-220 Chem BK 2 UK 252 | |
2 | Kuandika Shajara | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kuandika hati nadhifu | Kusikiliza Kuandika | Chaki Ubao Madaftari | KLB BK 2 UK 221 Fasaha BK 2 UK 150 Chem BK 2 UK 117 | ||
3 | Kusikiliza na kuzungumza Majadiliano | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kuigiza majadiliano aliyopewa | Kusoma Kuiga | Mchezo Chaki Ubao Madaftari | KLB BK 2 UK 222-224 Fasaha BK 2 UK 33, 129 | ||
4 | Fasihi Nyimbo za kivita | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kuimba na kuchambua wimbo aliopewa | Kuimba Kuchambua | Chaki Ubao Madaftari | KLB BK 2 UK 225-226 Fasaha BK 2 UK 126 | ||
5 | Kusoma Ufahamu | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kujibu maswali ya ufahamu/msamiati | Kusoma Kujadili Kuandika | Chaki Ubao Madaftari | KLB BK 2 UK 226-229 Fasaha BK 2 UK 153 | ||
6 | MTIHANI | ||||||
7 | 1 | Sarufi Udogo | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kubainisha udogo wa nomino | Kutambua Kuandika | Chaki Ubao Madaftari | KLB BK 2 UK 229-230 Fasaha BK 2 UK 62 | |
2 | Ukubwa
| Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kubainisha ukubwa wa nomino | Kutambua Kuandika | Chaki Ubao Madaftari | KLB BK 2 UK 229-231 Fasaha BK 2 UK 62 | ||
3 | Methali | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kufanya marudio zaidi | Kufanya mazoezi | Chaki Ubao Madaftari | KLB BK 2 UK 232-234 Fasaha BK 2 UK 67 | ||
4 | Kusoma Ufahamu | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kubainisha msamiati mpya | Kuandika Kueleza | Chaki Ubao Madaftari | KLB BK 2 UK 234-236 Fasaha BK 2 UK 166 Chem BK 2 UK 71 | ||
5 | Shairi | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kujibu maswali ya shairi | Kusoma Kujadili Kuandika | Chaki Ubao Madaftari | KLB BK 2 UK 241-243 Chem BK 2 UK 82 | ||
6 | Sarufi Mada mchanganyiko | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kufanya mazoezi zaidi | Kuandika | Chaki Ubao Madaftari | KLB BK 2 UK 248-252 | ||
8 | 1-6 | MTIHANI WA MWISHO WA MWAKA | |||||
9 | 1-6 | MTIHANI WA MWISHO WA MWAKA | |||||
10 | 1-4 | MARUDIO NA KUFUNGA SHULE KWA LIKIZO YA DESEMBA |