ASILIA
- KLB
- Mwongozo wa Mwalimu
- Oxford
- Kamusi
JUMA | KIPINDI | SOMO | SHABAHA | MBINU | VIFAA | ASILIA | MAONI |
1 | 4-6 | KUFUNGUA SHULE NA KUSAHIHISHA KAZI YA LIKIZO | |||||
2 | 5-6 | Fasihi Hadithi fupi | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kusoma na kuchambua ploti, dhamira, maudhui, wahusika na lugha | Majadiliano Kuuliza na kujibu maswali | Vifaa halisi Picha na michoro | Mayai Waziri wa Maradhi na hadithi nyingine | |
3 | 1 | Kusikiliza na kuzungumza Fasihi simulizi na fasihi andishi | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kuweza kubainisha sifa za fasihi simulizi na fasihi andishi pamoja na tofauti, aidha tanzu zake | Majadiliano Kuuliza na kujibu maswali | Jedwali Utendaji wa wanafunzi | C. Kuhenga Fasihi simulizi na tamathali za usemi KLB BK 4 UK 4-19 Chem BK 4 UK 4 | |
2 | Isimu Jamii Maana, lugha na mawasiliano | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kueleza maana ya isimu jamii, umuhimu wake, maana ya lugha, dhima na uhusiano kati ya mawasiliano na lugha | Kujadiliana Kusikiliza Kuuliza maswali | Vifaa halisi Picha na michoro | I.I Odeon a M. Geoffrey Fani ya isimu jamii UK 1-8 | ||
3 | Sarufi Vivumishi, ngeli za majina na upatanishi wake | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kuvibainisha vivumishi vya sifa, vionyeshi, idadi na kuvitumia pamoja na ngeli mbalimbali katika sentensi | Kuuliza Kusikiliza Kujibu maswali | Jedwali, kadi zenye vivumishi vya sifa vionyeshi na idadi | Chem BK4 UK 102 KLB BK4 UK 26-27 Nkwera: Fasihi na sarufi UK 28 | ||
4 | Kusoma Matangazo | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kusoma kwa sauti matangazo kwa ufasaha na utaratibu tofauti Kuyatofautisha matangazo hayo | Kutafuta matangazo mbalimbali Kubainisha sifa zake | Nakala za matangazo ya redio nay a kuandikwa | Chem. UK 102 KLB BK4 UK 26 | ||
5 | Kuandika Barua rasmi | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kutambua sehemu muhimu za kuzingatia na kuzitilia maanani ili kuweza kutunga barua nzuri ipasavyo | Maelezo, kujadiliana na kuandika barua | Nakala za barua rasmi | Chem. UK 32 KLB BK4 UK 8-15 Mwongozo wa uandishi wa insha | ||
6 | Fasihi Hadithi Fupi | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kusoma na kuchambua ploti ya hadithi, dhamira, maudhui, lugha na wahusika katika hadithi
| Kujadiliana Kuuliza Kujibu maswali | Vifaa halisi Picha na michoro | Mayai Waziri wa Maradhi na hadithi nyingine | ||
4 | 1 | Kuandika insha ya methali | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kubainisha maana bayana na batini, visa katika kubuni insha inavyostahiki | Utendaji wa wanafunzi | Mifano ya insha za methali | Chem. UK 66 KLB BK4 UK 28-29, 16-17 | |
2 | Kusikiliza na kuzungumza | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kusoma na kuelewa taarifa, kudondoa mambo muhimu kwa kuzingatia matamshi bora na lugha | Utendaji wa wanafunzi Kuuliza na kujibu maswali Majadiliano | Vifaa halisi Picha na michoro | Tuki: kamusi sanifu KLB BK4 UK30-32 | ||
3 | Sarufi Nomino/jina | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Utambuzi wa aina mbalimbali za nomino, kuzitolea mifano katika sentensi sahihi | Kusikiliza Kuuliza Kujibu maswali | Vifaa halisi Picha na michoro | Chem. UK 5 KLB BK4 UK 32-35 F.V. Nkwera | ||
4 | Kusoma kwa mapana Magazeti | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kuwa staid katika usomaji Kuzingatia matamshi bora Kudondoa hoja za kitaifa na kimataifa na zinazohusiana na janga la ukimwi | Majadiliano na usomaji wa magazeti | Taifa Leo Majira Majarida Ya Kiswahili Katika maktaba | Magazeti ya magktaba KLB BK4 UK 35-37 | ||
5-6 | Fasihi Hadithi Fupi | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kusoma na kuchambua mtiririko wa visa, dhamira, lugha, maudhui na wahusika katika hadithi fupi | Kujadiliana Kuuliza Kujibu maswali | Vifaa halisi Picha na michoro | Mayai Waziri wa Maradhi na hadithi nyingine | ||
5 | 1 | Kuandika Muhtasari | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Uzingativu wa kanuni za muhtasari Kudondoa hoja muhimu bila kubadili maana na kuandika muhtasari | Kusoma makala Kudondoa hoja muhimu na kuandika muhtasari | Fungu la ufupisho | KLB BK4 UK 37-38 Tuki Kamusi sanifu | |
2 | Kusikiliza na kuzungumza: Mtandao | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kuweza kuwasiliana kwa mtandao na kutambua istilahi zinazohusiana na mtandao | Majadiliano Kuuliza Kujibu maswali | Vifaa halisi Picha na michoro | Chem. UK 137 KLB BK4 UK 39-41 Tuki Kamusi sanifu | ||
3 | Sarufi Vitenzi | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kuvitanbua na kutaja aina zake na kuweza kuvitungia sentensi | Kutambulisha vitenzi Kuuliza Kujibu maswali | Vifaa halisi Picha na michoro | Chem. UK 39 KLB BK4 UK 43-46
| ||
4 | Kuandika Memo | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kutambulisha aina mbalimbali za meme na kuandika ujumbe kwa kutumia meme | Maswali Majadiliano Kujibu maswali | Tarakilishi Rununu Nukilishi | Chem. UK 78 KLB BK4 UK 46-50 | ||
5 | Isimu Jamii Hadhi na chimbuko la lugha ya Kiswahili | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kuweza kuelewa hadhi ya lugha ya Kiswahili na chimbuko la lugha hii katika upwa wa pwani ya Afrika mashariki | Majadiliano Kusoma Kuuliza na kujibu maswali | Vifaa halisi Picha na michoro | Odeo I.I na Maina C. Fani ya Isimu Jamii UK 9-21 | ||
6 | Fasihi Hadithi fupi | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kusoma na kuchambua ploti, dhamira, maudhui, wahusika na matumizi ya lugha | Kujadiliana Kuuliza na kujibu maswali | Vifaa halisi Picha na michoro | Mayai Waziri wa Maradhi na hadithi nyingine | ||
6 | 1 | Kusikiliza na kuongea Methali na misemo | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kuzingatia matamshi sahihi, kuelewa maana, methali zilizo sawa na zenye maaana kinzani | Majadiliano Kuuliza na kujibu maswali | Vinasa sauti Picha na michoro | Kamusi ya methali Kamusi ya misemo | |
2 | Kusoma kwa ufahamu Haki za binadamu | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Matamshi sahihi, kuelewa maana, msamiati ili kuweza kujibu maswali ipasavyo | Majadiliano Kuuliza na kujibu maswali | Vifaa halisi Picha na michoro | Tuki Kamusi sanifu KLB BK4 UK 56-58 | ||
3 | Sarufi Viwakilishi | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Aina za viwakilishi zitambulishwe na ziweze kutumika katika umoja na wingi ipasavyo katika mwasiliano | Kusikiliza Kuuliza na kujibu maswali | Vifaa halisi Picha na michoro | Chem. UK 17 KLB BK4 UK 58-60 Oxford BK4 UK | ||
4 | Isimu Jamii Dhana ya lahaja za Kiswahili | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kuelewa dhana ya lahaja za Kiswahili, zinakotumika na lafudhi zake ipasavyo | Majadiliano Kusoma Kuuliza na kujibu maswali | Vifaa halisi Picha na michoro | Odeo I.I na Maina C. Fani ya Isimu Jamii UK 27-32 | ||
5-6 | Fasihi Hadithi Fupi | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kusoma na kuchambua ploti, dhamira, maudhui, wahusika na mbinu za lugha na za kisanaa ipasavyo | Kujadiliana Kuuliza na kujibu maswali | Vifaa halisi Picha na michoro | Mayai Waziri wa Maradhi na hadithi nyingine | ||
7 | 1 | Kuandika Tahakiki | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Utambuzi wa vipengele vya tahakiki na kuvitumia ipasavyo katika zoezi la kutahakiki taarifa | Kusikiliza Kuuliza maswali Kujadiliana | Tamthilia Riwaya Diwani ya ushairi na hadithi fupi | KLB BK4 UK 75-78 Rejea zote | |
2-3 | Fasihi Hadithi fupi | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kusoma na kuchambua mtiririko wa visa, dhamira, lugha, maudhui mbinu za kisanaa na wahusika katika hadithi fupi | Kujadiliana Kuuliza Kujibu maswali baada ya hadithi | Vifaa halisi Picha na michoro | Mayai Waziri wa Maradhi na hadithi nyingine | ||
4 | Kusikiliza na kuongea Mafumbo | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kuimarisha matamshi bora Kunoa akili Kumakinika katika ufumbuzi na utatuzi wa matatizo/mafumbo | Kushiriki katika ufumbuzi Kujadiliana Kuuliza na kujibu maswali | Vifaa halisi Picha na michoro | Chem. UK 71 KLB BK4 UK 79-81 | ||
5 | Fasihi simulizi Lakabu | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kuzingatia matamshi bora Kuwa watambuzi na wachunguzi ili kuweza kuunda na kutumia lakabu ipasavyo | Kujadiliano Kuuliza na kujibu maswali Kufanya zoezi | Vifaa halisi Picha na bango lenye picha | Chem. UK 60 KLB BK4 UK 79-81 | ||
6 | Kusoma Viwanda | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kusomakuimarisha matamshi bora na kuweza kuujua na kuutumia ipasavyo Kujibu maswali ipasavyo | Kusoma Kuuliza na kujibu maswali Kufanya zoezi | Vifaa halisi Picha na michoro | Tuki Kamusi sanifu KLB BK4 UK 84-88 | ||
8 | 1 | Sarufi Viunganishi | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kuvitambua na kuvitumia kwa usahihi katika mazungumzo na pia kwenye sentensi ipasavyo | Kusikiliza Kuuliza na kujibu maswali Kufanya zoezi | Jedwali Vifaa halisi Picha na bango lenye picha | F.V Nkwera Sarufi na Fasihi Chem. UK 97 KLB BK4 UK 88-89 | |
2 | Kusoma Wavuti | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kusoma kwa matamshi bora Kutambua maana ya wavuti na istilahi zake na kuzitumia ipasavyo | Kusikiliza Kuuliza na kujibu maswali | Vifaa halisi Picha na michoro | Tuki Kamusi sanifu KLB BK4 UK 89-91 | ||
3 | Kuandika Simu na Memo | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kudurusu kuhusu sehemu muhimu za simu, memo na kuzibainisha ili kuweza kudhihirisha matumizi yake ipasavyo katika mtungo | Kusikiliza Kuuliza na kujibu maswali Kutunga mtungo | Vifaa halisi Picha na bango lenye picha | Chem. UK 193 KLB BK4 UK 91-93 Mwongozo wa insha | ||
4 | Isimu Jamii Usanifishaji wa Kiswahili | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kuelewa sababu na jinsi Kiswahili kilivyosanifishwa baada ya kumaizi maana ya usanifishaji Kujadiliana | Majadiliano Kusoma Kuuliza na kujibu maswali | Vifaa halisi Picha na michoro | Odeo I.I na Maina C. Fani ya Isimu Jamii UK 33-37 | ||
5-6 | Fasihi Hadithi Fupi | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kusoma na kuchambua ploti, dhamira, maudhui, wahusika na mbinu za lugha na za kisanaa | Kujadiliana Kuuliza na kujibu maswali Kufanya zoezi | Vifaa halisi Picha na michoro | Mayai Waziri wa Maradhi na hadithi nyingine | ||
9 | 1 | Kusikiliza na kuongea Bungeni | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kuzingatia matamshi bora Kustawisha mawasiliano na itifaki, aidha istilahi sahihi za bunge | Kusoma kwa sauti © Education Plus Agencies Kujadiliana Kufanya zoezi | Vifaa halisi Picha na michoro | Chem. UK 61 KLB BK4 UK 94-97 | |
2 | Kusoma Kumbukumbu za mkutano | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kusoma kwa matamshi bora, kuelewa msamiati, kumudu kuandika kumbukumbu za mkutano ipasavyo | Kusikiliza Kuuliza na kujibu maswali Kufanya zoezi | Nakala za kumbukumbu za mkutano | Chem. UK 169 KLB BK4 UK 97-99 | ||
3 | Sarufi Vielezi | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kutambua aina mbalimbali za vielezi na kuvitumia katika sentensi na mawasiliano | Kusikiliza Kuuliza na kujibu maswali Kufanya zoezi | Chati ya vielezi Utendaji wa wanafunzi | Chem. UK 75-76 KLB BK4 UK 100-101 Nkwera 24-26 | ||
4-6 | LIKIZO FUPI | ||||||
10 | 1-2 | LIKIZO FUPI | |||||
3 | Kusoma Riwaya teule | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kusoma na kuelewa mambo yahusuyo riwaya, kujadili maudhui, kiini, wahusika na mbinu za kisanaa na za lugha | Kusoma Kujadiliana | Vitabu vya riwaya (hadithi) | Chem. UK 55, 65 KLB BK4 UK 102 | ||
4 | Isimu Jamii Maendeleo ya Kiswahili nchini Kenya | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kujadiliana na kuweza kuelewa hatua ambazo lugha ya Kiswahili imepiga nchini Kenya ipasavyo | Kujadiliana Kuuliza na kujibu maswali Kufanya zoezi | Vifaa halisi Picha na michoro | Odeo I.I na Maina C. Fani ya Isimu Jamii UK 38-51 | ||
5-6 | Fasihi Hadithi Fupi | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kusoma na kuchambua ploti, dhamira, maudhui, wahusika na mbinu za lugha na za kisanaa | Kujadiliana Kuuliza na kujibu maswali Kufanya zoezi | Vifaa halisi Picha na michoro | Mayai Waziri wa Maradhi na hadithi nyingine | ||
11 | 1 | Sarufi Vihusishi | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kubainisha aina mbalimbali za vihusishi na kuweza kuvitumia ipasavyo katika sentensi na katika mawasiliano | Kusikiliza Kutunga sentensi Kuuliza na kujibu maswali | Vifaa halisi Picha na michoro | Chem. UK 108 KLB BK4 UK 110 | |
2 | Sarufi Vivumishi | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kubainisha aina mbalimbali za vivumishi na kuweza kuvitumia ipasavyo katika sentensi na katika mawasiliano | Kusikiliza Kutunga sentensi Kuuliza na kujibu maswali | Vifaa halisi Picha na michoro | Chem. UK 108 KLB BK4 UK 110 | ||
3 | Isimi Jamii Chamgamoto na mikakati ya kuimarisha Kiswahili Kenya | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kujadiliana na kuweza kuelewa hatua ambazo lugha ya Kiswahili kimepitia ili kukabili changamoto zinazokikabili | Kujadiliana Kuuliza na kujibu maswali Kufanya zoezi | Vifaa halisi Picha na michoro | Odeo I.I na Maina C. Fani ya Isimu Jamii UK 52-58 | ||
4 | Isimi Jamii Chamgamoto na mikakati ya kuimarisha Kiswahili Kenya | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kujadiliana na kuweza kuelewa hatua ambazo lugha ya Kiswahili kimepitia ili kukabili changamoto zinazokikabili | Kujadiliana Kuuliza na kujibu maswali Kufanya zoezi | Vifaa halisi Picha na michoro | Odeo I.I na Maina C. Fani ya Isimu Jamii UK 52-58 | ||
5-6 | Fasihi Hadithi Fupi | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kusoma na kuchambua ploti, dhamira, maudhui, wahusika na mbinu za lugha na za kisanaa katika hadithi fupi | Kujadiliana Kuuliza na kujibu maswali Kufanya zoezi | Vifaa halisi Picha na michoro | Mayai Waziri wa Maradhi na hadithi nyingine | ||
12 | 1 | Kusoma Mashairi huru | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kubainisha tofauti ya mashairi, arudhi na huru Kuyachambua bila utatanishi | Kukariri shairi Kusikiliza Kuuliza na kujibu maswali | Makala ya majarida ya kiswahili | Chem. UK 113, 173 KLB BK4 UK 114 Tuki: Kamusi sanifu | |
2 | Kuandika Utungaji wa kisanii | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kuzingatia kanuni za utunzi wa mashairi huru na kuweza kutunga mashairi mazuri | Kusikiliza Kuuliza maswali Kuweza kutunga mashairi mazuri yaliyo na maudhui | Mifano ya mashairi huru | Chem. UK 173 KLB BK4 UK 114 Mwongozo wa utunzi | ||
3 | Sarufi Vihisishi | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kubainisha aina mbalimbali za vihisishi na kuweza kuvitumia ipasavyo katika sentensi na katika mawasiliano | Kusikiliza Kutunga sentensi Kuuliza na kujibu maswali | Vifaa halisi Picha na michoro | Chem. UK 213 KLB BK4 UK 110-111 Nkwera | ||
4 | Kusikiliza na kuzungumza Mjadala | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Mada ya mjadala Kuigiza mazungumzo na kuweza kuwasilisha hoja kwa ufasaha | Kujadiliana na kuelekezwa | Chati Mchoro na picha | KLB BK4 UK 115-117 | ||
5-6 | Fasihi Hadithi Fupi | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kusoma na kuchambua ploti, dhamira, maudhui, wahusika na mbinu za lugha na za kisanaa katika hadithi fupi | Kujadiliana Kuuliza na kujibu maswali Kufanya zoezi | Vifaa halisi Picha na michoro | Mayai Waziri wa Maradhi na hadithi nyingine | ||
13 | 1 | Kusoma Utandawazi | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kukuza ustadi wa kuso,a kwa ufasaha Kujadili msamiati na kuutumia katika sentensi | Kusikiliza Kuuliza na kujibu maswali | Ramani ya ulimwengu Michoro na picha | Chem. UK 160 KLB BK4 UK 117-119 Tuki: Kamusi sanifu | |
2 | Sarufi Mwingiliano wa maneno | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kuyatambua maneno/istilahi ziundazo sentensi na kuzitumia ipasavyo kwa ufasaha | Kuitunga sentensi Kuuliza na kujibu maswali Kufanya zoezi | Chati na michoro | KLB BK4 UK 76-77 | ||
3 | Fasihi Kudurusu | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kuelewa na kushiriki katika kutoa mchango/hoja za kujibu swali lolote katika nyanja yoyote ya fasihi | Kujadiliana Kuuliza na kujibu maswali Kushiriki kujibu maswali | Vifaa halisi Picha na michoro | Maswali ya kudurusu ya riwaya, tamthilia, ushairi na hadithi fupi | ||
4 | Ushairi Bahari/aina za ushairi | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kudfurusu kwa kukumbuka na kutaja ainana sifa za bahari hizi za ushairi Kuchambua ushairi ipasavyo na kutambulisha bahari yake | Kujadiliana Kuuliza na kujibu maswali Kufanya zoezi | Mashairi | E. Kezilahabi Kunga za Ushairi Malenga wa Ziwa kuu | ||
5-6 | Isimu Jamii Changamoto zinazokabili Kiswahili nchini na mikakati ya kuimarisha | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kubainisha mikakati inayokikabili Kiswahili kwa sasa nchini Kenya Kujadiliana na pia kubainisha mikakati ya kuzitatua | Kujadiliana Kuuliza na kujibu maswali Kufanya zoezi | Vifaa halisi Picha na michoro | Odeo I.I na Maina C. Fani ya Isimu Jamii UK 52-55 | ||
14 | 1 | Kusikiliza na kuzungumza Matamshi bora (kudurusu) | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kutamka irabu na konsonanti vizuri ipasavyo na kuweza kuzitambulisha | Kutamka Kusikiliza Kuuliza na kujibu maswali | Vifaa halisi Picha na michoro | Chem. BK1 UK 3-8 KLB BK1 UK 16 Oxford BK1 UK 1-3 | |
2 | Kusikiliza na kuzungumza Matamshi bora (kudurusu) | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kubainisha ala za kutamkia, irabu zinakotamkwa hali kadhalika konsonanti Kutambulisha aina za konsonandi
| Kutunga sentensi sahihi | Vifaa halisi Picha na michoro | Chem. BK1 UK 3-8 KLB BK1 UK 16 Oxford BK1 UK 1-3 | ||
3 | Sarufi Kuakifisha (kudurusu) | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kubainisha alama za kuakifisha na kuweza kuzitumia ipasavyo katika maandishi | Kusikiliza Kujadiliana Kuuliza na kujibu maswali | Vifaa halisi Picha na michoro | Chem. BK1 UK 20,37,69,92,131,138, 180,196 KLB BK1 UK 22-23 | ||
4 | Isimu Jamii Sajili katika muktadha isiyo rasmi | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kueleza na kuelewa Kubainisha sajili na sifa za lugha ya nyumbani, hospitali, sokoni, mkahawani na mazungumzo ya kawaida | Majadiliano Kuuliza na kujibu maswali | Vifaa halisi Picha na michoro | Odeo I.I na Maina C. Fani ya Isimu Jamii UK 88-92 | ||
5-6 | Fasihi Kudurusu | Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze; Kujadiliana maswali ya fasihi kuhusu ploti, dhamira, maudhui, wahusika, mbinu za lugha na za kisanaa | Kujadiliana Kuuliza na kujibu maswali Kufanya zoezi | Vifaa halisi Picha na michoro | Rejea zote za fasihi | ||
15 | MITIHANI |